[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu cnaaaa khaaaa, mna matukio hivyo na hamsemi, sijapendaaaaa.Hahaha nimekumbuka mtu wa kwanza kuniacha hadi bp ilishuka aisee .. baadae nikamove on
Yaani anajua kabisa nina kinyongo naye [emoji23][emoji23] .
Juzi tumefundishwa kusamehee na kuachilia ... Nimesamehee maana we still chat Ila sijaachilia .
Diwani pambe 😂😂😂
Poker utadhani alitulipia adaI've got you Saint Anne to make me feel alive and alright 🥰😍 baby you know how much ineed you!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mdomo komaa [emoji40][emoji40]
Mapee yamewapata wenyeweee [emoji126][emoji126][emoji126]
Weraweeraaaaaaaaaaaaaa... in cocastic voice!!
Inapendeza sanaaaa[emoji1732] [emoji122][emoji122][emoji3577]
Saint Anne sina budi kusema
"Kila lenye kheri mamaa"[emoji8]
Tunakumbushana tu lakini
"love is a war ..it is a battle"
Naombaaaaa shangaziiiiii, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Yananiacha ovyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naweee mapenzi yanakuburuzaga??? Sitakiii kuamini dear lol.
Kheeeeeeh wee ndo umeandikaaaa??? Sikuwahi jua una madesa hivi, sasa mbna hutoagi somo watu wajifunze.??Ujue tyu Mapenzi yana seasons mdogo wanguuu! Jiandae kwa yote na usiwe na lots of expectations kwa Mwenzio sometimes mambo hubadilikaa huyohuyoo anoonesha malovee kama yote hapo mwanzo anaeza kugeuka ukabaki unajiuliza bila majibuuu!! Hii inaapply kwa wotee yeyote aeza badilika
Ni kujiandaa kwa yoteee pia!! Na Sometimes Ni Kupambana kama mlivosema hapo juu na mamaa lipss Tinsley nawengine ikifika Crisis ndio balaaa ifike crisis afu no resolutions ndobasi tenaaaa til we meet again [emoji112]
Note that pia!
Nipo Naendelea kusoma tena [emoji144][emoji144][emoji144]
Hahahaha Leo tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu cnaaaa khaaaa, mna matukio hivyo na hamsemi, sijapendaaaaa.
Karibu selfika, mwana lunyasi mwenzangu. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Yani huu uzi haupoi hauboi asubui usiku alfajiri watu mpoo..mm nasoma tuu sharauti kwa wadogo zangu Saint Anne ,Antonnia Tinsley sophy27 cocastic na kaka zenu "et all"wanajijua
Poker utadhani alitulipia ada
Saint Anne au ulipanda gari la njano na huniambii😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie nacheka km chizi hapa lol.Sema ni kama tumeshazoea ni bora kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli..na muda mwingine unajua kuwa husband/Boyfriend amechepuka na labda hata text uliona ila akisema sio kweli tunaridhika na maisha yanaendelea akisema ukweli mfano "ndio nimechepuka na sophy tena sijui kwanini sikumuona mapema kabla yako" unadhani itakuwaje?.hebu pima mauimivu ya uongo na maumivu ya ukweli yapi yanauma
Shougaaaaaa angu nipooooooo hapaaa, nasoma madesa ya mapenzi na mahusiano, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au wee unajifanya kupenda Kweri Kweri umbe mwenzio alikutamani tyu jomonee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]! cocastic shoss akee wherayuuuu?? Miss you dear
Hebu nimalizie kupanda walai[emoji6][emoji6][emoji6]
Hakuna timu hapo bora uangalie rede utaona hata nanii kuliko kuangalia utopolo ChelseaHivi Chelsea wataendelea kuchana mikeka hadi lini? [emoji35] Hi timu ni mbovu kama yanga!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie motivation speakers wa mahusiano mmeshindaje [emoji41][emoji41]
Mdomo koma haya usisahau KingaUsiku mwema wapendwa!![emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Nikapumzishe fuvu langu kwa leo [emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Ndyo unagawa matunda na mm Naomba tunda [emoji41][emoji41][emoji41]Abee Carrasco putin umeniita?[emoji28]
Kampumzike tyuuh, leo ulikua na heka heka hatareeeeh.Usiku mwema wapendwa!![emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Nikapumzishe fuvu langu kwa leo [emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]