Selfika na JF: Snap it. Show it

Habari wanaselfika
Alhamisi nlipata mtihan kidogo barabarani nlipata ajali nlkua abiria kwenye bajaj mbaya zaidi nilikaa kwenye siti ya kiherehere
Nashukuru naendelea vizuri nlipata cut ya kioo uson na majeraha ya goti
Alamsiki
Pole sana kijana wangu, Mungu aliyekunusuru akuponye kabisa
 
Habari wanaselfika
Alhamisi nlipata mtihan kidogo barabarani nlipata ajali nlkua abiria kwenye bajaj mbaya zaidi nilikaa kwenye siti ya kiherehere
Nashukuru naendelea vizuri nlipata cut ya kioo uson na majeraha ya goti
Alamsiki
Pole sana mkuu. Kwa sa hivi unaendeleaje? Tunakuombea upone mapema ndugu
 
Ushafika,ushaoga,ushakula,ushalala,

Dear now kuna dagaa balaa,wabichi,madafu[emoji2957]
Yaaan npo hapa napiga umbea na mama, nimewakuta dagaa wabichi wamekaangwaa, nimewala bila ugali, nmeshibaa,

Kesho naenda manzese kuwazoa mwenyewe dumla, nawaala wee had baas, home raha sanaaa.

[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…