Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,970
- 177,190
Kama mzunguuuuuu👌👌😘😘😘!
Umependeza dear!!✌️
Kama mzunguuuuuu👌👌😘😘😘!
Santeee mmyKama mzunguuuuuu👌👌😘😘😘!
Umependeza dear!!✌️
Na siku zote udhaifu haupo pale kuonesha namna gani tusivyo weza, bali upo pale kutuonesha namna gani tuna muhitaji Mungu. Udhaifu mkubwaa deep intimacy na Mungu. Woote una waona walio kuwa na ukaribu na Mungu ni watu ambao wana madhaifu makubwa ukisimuliwa unaweza kulia, kuna watu wa Mungu wapo vizuri ila wana miiba, wakicheza kidogo tu wanaanguka, hayo mazingira yana wapush kila mda kumtafuta Mungu na matokeo yake wanakuwa 🔥🔥🔥🔥🔥Amen 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
😂😂😂😂Masaa yana zungumza toka alipost glass ya kimoko, ila vijana wa dar tupo wazembe, mtu anapat wapi mda wa kuchukua hadi ka selfi na ku ka post 😃😃😃 namashaka hajaungisha vitaraaa
Suzuki Grand Vitaraa 😃😃😂😂😂😂
Kuungisha vitaraa ndio nini
Nipo home tayariSuzuki Grand Vitaraa 😃😃
Umerudi nyumbani au basi 🤓🤓
Mwepesiii 🫡🫡Nipo home tayari
Nakunywa maji nilale🤣🤣
Unapiga mule mule Baba Mchungaji. Wakati mwingine madhaifu yetu yanatukunguwaza sana mpaka tunashindwa kuishi maisha na destiny tuliyopangiwa na Mungu. Mpaka tunatafuta visingizio maana mara nyingi destiny zetu zinaambatana na mapito yaliyojaa hekaheka.Na siku zote udhaifu haupo pale kuonesha namna gani tusivyo weza, bali upo pale kutuonesha namna gani tuna muhitaji Mungu. Udhaifu mkubwaa deep intimacy na Mungu. Woote una waona walio kuwa na ukaribu na Mungu ni watu ambao wana madhaifu makubwa ukisimuliwa unaweza kulia, kuna watu wa Mungu wapo vizuri ila wana miiba, wakicheza kidogo tu wanaanguka, hayo mazingira yana wapush kila mda kumtafuta Mungu na matokeo yake wanakuwa 🔥🔥🔥🔥🔥
Daaah, mwamba leo umeshukiwa na Roho Wa Bwana....Na siku zote udhaifu haupo pale kuonesha namna gani tusivyo weza, bali upo pale kutuonesha namna gani tuna muhitaji Mungu. Udhaifu mkubwaa deep intimacy na Mungu. Woote una waona walio kuwa na ukaribu na Mungu ni watu ambao wana madhaifu makubwa ukisimuliwa unaweza kulia, kuna watu wa Mungu wapo vizuri ila wana miiba, wakicheza kidogo tu wanaanguka, hayo mazingira yana wapush kila mda kumtafuta Mungu na matokeo yake wanakuwa 🔥🔥🔥🔥🔥
Mzee mwenzangu nafurahi kukuona hapaDaaah, mwamba leo umeshukiwa na Roho Wa Bwana....
Habari yako ndugu yangu....Mzee mwenzangu nafurahi kukuona hapa
Mungu ni mwema kaka, habari za siku nyingiHabari yako ndugu yangu....
Nasubiria kwa hamu 😊😊😀😀😀 Nime bet hapa subiri mkeka u tick nkutumie kwenye account yako, ulipie hiyo nzuri sanaaa inafaa kukaa pale kwenye mgahawa wetu View attachment 2337675
Bro Mungu anasaidia aisee. Umepotea sanaa..!Mungu ni mwema kaka, habari za siku nyingi
Kuna siku Pasta alisema unadhani ungekuwa mkamilifu Kwa kila kitu,ungepata muda wa kumtafuta Mungu??Na siku zote udhaifu haupo pale kuonesha namna gani tusivyo weza, bali upo pale kutuonesha namna gani tuna muhitaji Mungu. Udhaifu mkubwaa deep intimacy na Mungu. Woote una waona walio kuwa na ukaribu na Mungu ni watu ambao wana madhaifu makubwa ukisimuliwa unaweza kulia, kuna watu wa Mungu wapo vizuri ila wana miiba, wakicheza kidogo tu wanaanguka, hayo mazingira yana wapush kila mda kumtafuta Mungu na matokeo yake wanakuwa![]()
Nkamu ujue naisubiri hii picha tangu ijumaaNgoja nikutumie
Inamaana hujui kama nakupenda xna Lizzy
Majukumu yana bana mkuu, hata hivyo lazima nipitie jf kila siku mkuuBro Mungu anasaidia aisee. Umepotea sanaa..!