Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,467
- 185,509
Nakusalimu boss! Hauna kaforo karibu hapo unibles nirare vizuri????
Aisee... hii ni maajabu
Kila nikichungulia naona sura mpya tupu, nakosa kapuanzia napita ivi.
Fungua pm ninazo hata 100🤣Nakusalimu boss! Hauna kaforo karibu hapo unibles nirare vizuri????
alikuwa busy sana
Msalimie sana mwambie nammisi!alikuwa busy sana
Wabheja sana comrade it has been long!
Huko mafichoni hapanaa mambo yote hapahapaFungua pm ninazo hata 100🤣
Those were the better days!Aisee... hii ni maajabu
Leo nimeukumbuka sana huu uzi. Nikakumbuka nyakati mbalimbali tulizopita
Nikakumbuka watu wa nyakati zile
Nashangaa narudi saizi nakuta notification
Haujambo?
wakongwe mambo yashakua mengi . Mara moja moja kama hivi sio mbaya ukapita kutusabahi!Kila nikichungulia naona sura mpya tupu, nakosa kapuanzia napita ivi.