Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Imeisha hiyo 😍 🤝 vp lakini haipunguwi punguwi ifike hata 20ml nimhonge Lizzy ili hiyo 6 nipoozee machungu hapo johari rotana
Usema kweli Lizzy anataka kama hii kidogo ungepata nafasi hata ya kuona sura yake na kusikia sauti yake.. sasa tufanyaje ndugu yangu na wewe una 20 mill tu 🥹🥹
B0C27100-73B6-4030-B2A3-ED5234DA0BB1.png
 
Kulikua na bongesa la mselfii ya Boss vochaa a.k.a Mjep the great kiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiinnnggggg !!
King wa Selfika?? Mgawa vochaa??

Nimecheka mnoooo, uwiiiiih

Afu huna umbea wowote unipe?? Maana nawashwa mnooo kwa kutaka kupewa udaku na ubuyuuu.

Nisaidie shouzzzzzz puliiiiizzzzzz!!!!!
 
Usema kweli Lizzy anataka kama hii kidogo ungepata nafasi hata ya kuona sura yake na kusikia sauti yake.. sasa tufanyaje ndugu yangu na wewe una 20 mill tu 🥹🥹View attachment 2337786
Heeeeey! Basi tena nimeshindwa msije niuwa na presha mi mwenyewe naendesha ka vanguard! 🙌 Nimesalimu Lizzy huyu dalali wako National Anthem ananikomoa 160ml si robo ya mtaji huo? Nehi nehi! 🙆🏻‍♂️🏃
 
Naam huyu ndiye kipenzi changu
Arusha kuna wataalamu wana fanya modification inakuwa kama hizi. Nimeona watu waili Dar es Salaam wanazo na walizifanyia modification Arusha, ingawa sio harisi na OG kama hii.. kwenye jeep nayo ielewa ingawa ni parefu naishi kuziona yutube nii hii Makiwendo yake Charokee sema nahisi ya mwaka 2015 kuja juu
22AD0CCF-D245-4964-A157-AFB54C841006.jpeg
 
Heeeeey! Basi tena nimeshindwa msije niuwa na presha mi mwenyewe naendesha ka vanguard! Nimesalimu Lizzy huyu dalali wako National Anthem ananikomoa 160ml si robo ya mtaji huo? Nehi nehi!
Duh pole

Mimi siku nyingi

Nipo na kina havijawa

Wao hawajui ist vanguard wala jeep

Gari naloendesha la taka

Limeamdikwa waste nini nini huko

Mwenyewe anajisifu gari ya bwanangu

Jioni nikirudi napewa yote
 
King wa Selfika?? Mgawa vochaa??

Nimecheka mnoooo, uwiiiiih

Afu huna umbea wowote unipe?? Maana nawashwa mnooo kwa kutaka kupewa udaku na ubuyuuu.

Nisaidie shouzzzzzz puliiiiizzzzzz!!!!!
King wa Selfika?? Mgawa vochaa??

Nimecheka mnoooo, uwiiiiih

Afu huna umbea wowote unipe?? Maana nawashwa mnooo kwa kutaka kupewa udaku na ubuyuuu.

Nisaidie shouzzzzzz puliiiiizzzzzz!!!!!
Lol mie na Umbea kus na kas shos angu hebu nitonyeee!!! Kuna mpyaa?? Nakuja tsup shostie usintanieeee 🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️
 
Heeeeey! Basi tena nimeshindwa msije niuwa na presha mi mwenyewe naendesha ka vanguard! 🙌 Nimesalimu Lizzy huyu dalali wako National Anthem ananikomoa 160ml si robo ya mtaji huo? Nehi nehi! 🙆🏻‍♂️🏃
🫣🫣🫣 kizuri gharama, uza hiyo Vanguard changanya na ukicho nacho tumchukulie hata haka hapa, uza Vanguard hata 25 jumlisha na hiyo 20 inakuwa 45 million au unasemaje Lizzy
5F039007-CA3B-4357-AE38-D71F63B163BA.png
 
Back
Top Bottom