Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Roho Wa Mungu kila siku yupo nasi kila nukta ya pumzi, kama neno la Mungu linavyosema hatotuacha paka mwisho wa dahari na hayo mafuta aliyo yaachia ndani yetu huyo Roho wa kweli. Sema Mungu ametutoa wengine kwa deep deepest dark darkness 😀😀 wakati mwingine ukisha ji mix na old wine basi kidogo unapata moto hasa makazini ili ziende lazima wakati mwingine uwe wa moto. Ila Mungu yuko kazini bado ana repair chombo chake , maana hata hapa tulipo ni kwa neema wengine huenda ingekuwa history zamani, .. toka jana haka ka wimbo hakajatoka masikioni mwangu, nikilala nikiamka ninako tuView attachment 2337742
Naam, mjoli....
 
Habari wanaselfika
Alhamisi nlipata mtihan kidogo barabarani nlipata ajali nlkua abiria kwenye bajaj mbaya zaidi nilikaa kwenye siti ya kiherehere
Nashukuru naendelea vizuri nlipata cut ya kioo uson na majeraha ya goti
Alamsiki
Pole sana mjumbe! Mungu akuponye haraka urejee kwenye afya njema mkuu!!
 
Back
Top Bottom