Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna kitu nilikuwa najifanyia tafiti. Nini nisipo fanya napoteza nguvu na nini nikifanya napata nguvu. Kila mtu ana namna yake pekee yake ( hatupo sawa hata kidogo ). Wengine wanakuwa na nguvu kupitia weakness, wengine wanakuwa na nguvu kupitia strength zao. Baada ya mda mrefu nikaja kuona nguvu zangu zipo katika madhaifu yangu, na sio katika strength zangu. Kipindi flani nilikuwa nikikwama katika nadhaifu yangu nilikuwa nakata tamaa, ila siku hizi kupitia madhaifu yangu napata nguvu zaidi Apostle Paul , alikuwa na mwiba ( udhaifu ) ulio mpush kuwa karibu na Mungu mda mwingi kwasababu ulikuwa unamtesa na hata kutaka kudhoofisha juhudu zake, kumbe katika kufight na udhaifu ni kuwa karibu zaidi na Mungu kwake maana. Kuna watu breakthrough zao zipo katika madhaifu yao na sio streght zao
The Apostle was real. Pengine ni kwa sababu ya historia yake mwenyewe lakini barua zake nyingi ziko personal sana and he wasn't shy to be vulnerable.

Ulichogundua ni kitu cha msingi mno maana mara nyingi Mungu hupita mule mule kwenye madhaifu, majaribu na hata maanguko yetu katika kutuimarisha. We will never become diamonds in Christ without going through the intense heat and pressures of life. Wengi huwa tunalia na kuhangaika sana tunapokuwa katika kilele cha udhaifu na majaribu kumbe nguvu zetu na ushindi vimo humo humo.

Asante kwa kushea utafiti wako. It is real life changing!
Screenshot_20220828-115446_Swahili%20Bible%20Offline.jpg
 
View attachment 2337656
🙏🙏🙏🙏. Udhaifu upo pale kutufanya kuwa karibu na Mungu sio mbali na Mungu. Nitamtukuza Mungu kupitia madhaifu yangu, ataonekana Mungu kupitia madhaifu yangu.
 
Back
Top Bottom