Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Sundays are for picnicking and what not. Hope it's great vibes for y'all too.
Kitu cha rinda rinda 😍Mungu ni mwema. Tunaendelea vizuri na zoezi; taratibu tunarudi kwenye formula
Sasa hivi ni rinda na blazer till further notice. Ngoja miili ipumue kwanzaKitu cha rinda rinda![]()


Weeeee watu wana rahaaa jamani 😊😊😊🤣🤣🤣 baada ya hiyo glass nilisinzia saiv ndio glass ya 2
Poker wa watu is dead 🔥🔥🔥🔥
Tunaliongeza gauni kwenye ile list...hili namba 2,la kwanza ni lile jeusi.
Karibu tumuangalie MwamposaAmen![]()
Sijui hata vimefika vingapiHaya naongezea kwenye Ile list
Huu mkeka wa mkufu umenikumbusha mbali.Sundays are for picnicking and what not. Hope it's great vibes for y'all too.
View attachment 2337595
Umebakiza pilipili😬😬😬 malizia nazo
😂😂😂😂 kama cha jana? Nikiwa mkubwa nitakuwa na akili timamu 🤸🏻♀️Nakupenda pia babygirl😍😘😘
Venye unanifanyaga kila saa nacheka kwa vituko vyako
Venye hunaga stress muda wote ni wa kufurahi na kuenjoy maisha hapo ndio maana tunamatch vema😂😍
Masafa gani jamani siku zote hizo!! Akitimiza miezi mi3 email itawafata ubalozi wa .. waniambie mshikaji wangu aliko 😂😂Maybe atakua masafa ya mbali, ndio maana hayuko hewani
Wala usihofi sana didi ake
Leo naona una upakoKwa Jena la Yeso
Haya naongezea kwenye Ile list

Marahabaa
kila glass kamoja 😁😁😬😬🤣🤣🤣 baada ya hiyo glass nilisinzia saiv ndio glass ya 2