Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nawapenda nyie watu wawili [emoji23][emoji23] Lenie myoyambendi

Mko so sosho, and loyal

Shikamoo jirani…

Shoga angu hujambo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Poker masta wa kiherehere [emoji23][emoji23][emoji23]

Carrasco putin mr mitelezeo

Saint Anne cake jana ilikuwa tamu, nikijisikia kushea picha nitashea..

Heaven Sent ulezi mwema mama Abiud, mtoto aanze kutembea urejeee selfika [emoji3059]
Eeh[emoji849]

Ma mchungaji huyu HS[emoji848]

Nilijua ni NuN

Kumbe nao utam kolea

Kwa sana tu[emoji1787]
 
National Anthem vp jana dimpoz Depal alitimba maghetoni au alikula nauli 😂
😀😀😀 hao kama hauna hela unafikiri wanakupa kitu 🤣🤣🤣🤣.. itakuwa kuna tajiri mmoja huko anajifyonzea kwa mrija majira kama haya kavaa kataulo kanyoosha tu miguu kwa sofa anasubiri supu ya pweza na mtori wa chapati badae ajimalizie kimoko au viwili watoke out
 
[emoji3][emoji3][emoji3] hao kama hauna hela unafikiri wanakupa kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].. itakuwa kuna tajiri mmoja huko anajifyonzea kwa mrija majira kama haya kavaa kataulo kanyoosha tu miguu kwa sofa anasubiri supu ya pweza na mtori wa chapati badae ajimalizie kimoko au viwili watoke out
Wakiwa wamevaa

Vikaptula vya vitenge
 
Back
Top Bottom