Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,768
- 26,908
Maisha hayafananiWatu wanajilia vizuri banaaa weeee.. wanakamuliwa maziwa yooote anatoka mtu out mwepesi kama karatasi.. wengine hapa wazito kama mawe
Mimi hapa ni mzito
Hata hatua zinakita
Ti Ti Ti Ti