Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Taifa stars
Mungu ni mwaminifu,Wahi kanisani uniombee na mimi nipunguze dhambi😊
Mungu ni mwema. Tunaendelea vizuri na zoezi; taratibu tunarudi kwenye formulaNawapenda nyie watu wawili 😂😂 Lenie myoyambendi
Mko so sosho, and loyal
Shikamoo jirani…
Shoga angu hujambo?
😂😂😂😂
Poker masta wa kiherehere 😂😂😂
Carrasco putin mr mitelezeo
Saint Anne cake jana ilikuwa tamu, nikijisikia kushea picha nitashea..
Heaven Sent ulezi mwema mama Abiud, mtoto aanze kutembea urejeee selfika 🥰
JingaaaaEeh
Ma mchungaji huyu HS
Nilijua ni NuN
Kumbe nao utam kolea
Kwa sana tu![]()
Saint Anne tuanze tu maombi ya ukomboziMimi siyo mrefu wewe...
Mimi ni "Tall" ila sina hakika kama ni "Dark" kuna ka lotion flani natumia keusiii kama mkaa nafanya jitihada nione kama December itafika nikiwa nimefanikiwa kuwa Dark ili mama mchungaji Heaven Sent anisajiri kwenye kile chama😁
Ila bahati mbaya sina uchebe, ndevu zangu hazina ushirikiano😔
Kwa Jena la YesoSaint Anne tuanze tu maombi ya ukombozi
HongeraNawapenda nyie watu wawili 😂😂 Lenie myoyambendi
Mko so sosho, and loyal
Shikamoo jirani…
Shoga angu hujambo?
😂😂😂😂
Poker masta wa kiherehere 😂😂😂
Carrasco putin mr mitelezeo
Saint Anne cake jana ilikuwa tamu, nikijisikia kushea picha nitashea..
Heaven Sent ulezi mwema mama Abiud, mtoto aanze kutembea urejeee selfika 🥰
Hhmm...unataka nizimie 🙄🙄Agiza kingine kwa bili yangu aunt
Naomba kiatuMungu ni mwema. Tunaendelea vizuri na zoezi; taratibu tunarudi kwenye formula
Saint Anne tuanze tu maombi ya ukombozi
Amen🙏Mungu ni mwaminifu,
Ukusamehe dhambi zako na uziache zote kabisa.
AmeeeeeeeenKwa Jena la Yeso
Bwana akutie nguvu..Mama mchungaji nimeacha 🙌🙌🙌
Haya naongezea kwenye Ile listNaomba kiatu
Amina🙏🙏Bwana akutie nguvu..
Au unamaanisha niifute selfie yangu nkamu?Amina🙏🙏
Selfika basi tuone
Kile ni kiatu nkamuAu unamaanisha niifute selfie yangu nkamu?
Ndiyo selfies zimeanza sasa; more to comeKile ni kiatu nkamu
Tuone kaselfie kenyewe umepotea sana mama mchungaji hadi tumekusahau