National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,197
Hela itafutwe heshimiwa na itumiwe 😁😁Dah!.. kuna watu wanafaidi sana
Hela itafutwe heshimiwa na itumiwe 😁😁Dah!.. kuna watu wanafaidi sana
🤣🤣🤣🤣 ili aondoke tena auNitambonda na mineno
Inapatikana Azam TV max?Channel yake ya Arise and Shine
NdiyoInapatikana Azam TV max?
Mie ntaenda wapi , nipo tu naangalia watu🤣🤣🤣
Kwani uko wapi leo
☺️☺️☺️Tunaliongeza gauni kwenye ile list...hili namba 2,la kwanza ni lile jeusi.
Jamani ndio umenichoka hivyo 🙁🙁Umebakiza pilipili😬😬😬 malizia nazo
Ukute hata habari halina☺️☺️☺️
Lile gauni lingejua linavyopendwa lingeringa sana 😁😁
🤓🤓🤓 kwani zinawasha hizo kwani ? sio tamu kama honeyJamani ndio umenichoka hivyo 🙁🙁
Wanafaidi kitu gani sasa 🙄🙄Dah!.. kuna watu wanafaidi sana
Preach Baba Mchungaji preach!children of light tell your neighbour i'm not going back It to that mess
I'm not going back to that addiction i'm not going back to that darkness
Not going back to that darkness I'm not going back to that poverty
I'm not going back this time
![]()

😁😁😁 acha aje, unamuacha hoi hoi hoi - In Wakilisha voiceUsimchokoze mwenzio 😁😁
Hata sijaonja....mie na 🌶 hatuna ukaribu wa aina yoyote ile.🥴🤓🤓🤓 kwani zinawasha hizo kwani ? sio tamu kama honey
Yaani huyo msusi alicheza kwenye rangi zangu zilezile..Sundays are for picnicking and what not. Hope it's great vibes for y'all too.
View attachment 2337595
Nilitaka nikuaguzia tani kadhaa kutoka india , basi niache sasa 😃😃😃Hata sijaonja....mie na 🌶 hatuna ukaribu wa aina yoyote ile.🥴
Ewaa hiyohiyo ProfesaNi hii ya kwanza eehView attachment 2337635
Kuna kitu nilikuwa najifanyia tafiti. Nini nisipo fanya napoteza nguvu na nini nikifanya napata nguvu. Kila mtu ana namna yake pekee yake ( hatupo sawa hata kidogo ). Wengine wanakuwa na nguvu kupitia weakness, wengine wanakuwa na nguvu kupitia strength zao. Baada ya mda mrefu nikaja kuona nguvu zangu zipo katika madhaifu yangu, na sio katika strength zangu. Kipindi flani nilikuwa nikikwama katika nadhaifu yangu nilikuwa nakata tamaa, ila siku hizi kupitia madhaifu yangu napata nguvu zaidi 😁😁😁😁 Apostle Paul , alikuwa na mwiba ( udhaifu ) ulio mpush kuwa karibu na Mungu mda mwingi kwasababu ulikuwa unamtesa na hata kutaka kudhoofisha juhudu zake, kumbe katika kufight na udhaifu ni kuwa karibu zaidi na Mungu kwake maana. Kuna watu breakthrough zao zipo katika madhaifu yao na sio streght zaoPreach Baba Mchungaji preach!![]()
Wasalimie hao watuMie ntaenda wapi , nipo tu naangalia watu
Umekuwa mwepesi 😊😊😊 Utalala safiiiWasalimie hao watu