Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
Raha jipe mwenyeweee😁😊Weeeee watu wana rahaaa jamani 😊😊😊
Raha jipe mwenyeweee😁😊Weeeee watu wana rahaaa jamani 😊😊😊
Shindwaaaaa🤣🤣🤣🤣kila glass kamoja 😁😁😬😬
SijamboMarahabaa
Sema akirudi itabidi tumwambie next time asipotee bila taarifaMasafa gani jamani siku zote hizo!! Akitimiza miezi mi3 email itawafata ubalozi wa .. waniambie mshikaji wangu aliko 😂😂
Nipo namcheck Mwamposa hapaLeo naona una upako
Wacha leo nikae kimya
Niwe msomaji zaidi
mmemaliza mapemaaa 😬😬😬Shindwaaaaa🤣🤣🤣🤣
Glass ya 3 sasa😁mmemaliza mapemaaa 😬😬😬
Dah!.. kuna watu wanafaidi sana
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 kama cha jana? Nikiwa mkubwa nitakuwa na akili timamu 🤸🏻♀️
Channel gani?Karibu tumuangalie Mwamposa
Jamaa kuna namna anafanya kuboost imani View attachment 2337605
kistaaa glass moja kimoko glass mbili vibee glass tatu vitatuu 😬😬😬Glass ya 3 sasa😁
Mungu ni mwema,alisharuhusiwa.Mgonjwa kisharuhusiwa![]()
Channel yake ya Arise and ShineChannel gani?
Nitambonda na minenoSema akirudi itabidi tumwambie next time asipotee bila taarifa
🤣🤣🤣kistaaa glass moja kimoko glass mbili vibee glass tatu vitatuu 😬😬😬
Ushafika,ushaoga,ushakula,ushalala,
