Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 2,009
- 4,380
sawa bwana mdogo
ila kwa lugha ya malkia tunatambulika kama clientsTafadhali sisi siyo wateja, hatununui huduma kwa JF, ifahamike kuwa sisi tunafahamika kama wadau, wanabodi, wakuu...
certified hatersawa bwana mdogo
yeaaah Certifiedcertified hater
ila kwa lugha ya malkia tunatambulika kama clients
Umemuelewa Melo lakini?Hapa ndipo tuamini JF ni mwiba sana kwa awamu hii.
Kwa jina la Yesu washindwe na walegee.
IMEELEWEKA....hii taarifa yako haijakaa kitaalamu bwana melo
Asante kwa taarifa. Ngoja niombe namba ya mrembo mmoja hivi kabla jf haijapigwa kombora
Naunga mkono hoja 100%Mngepanga usiku wa manane hilo tukio, mida ya kazi hiyo hasa jukwaa la kubeti na weekend hii mtatukosesha hela
Nafikiri haina tatizo, taarifa ipo very poised, it is universal for all JF Users (Who indeed have great diversity in understanding).hii taarifa yako haijakaa kitaalamu bwana melo
Unavaa Bullet Proof Vest kisha unachukua SMG unajimiminia risasi za kutosha tu ili ku test kama hiyo Bullet Proof vest nzima ama mbovu. Sasa ikiwa ni mbovu ndio hivyo tena, hospital inakuhusu fasta, watu hawakuoni Kitaa.hii taarifa yako haijakaa kitaalamu bwana melo
[emoji16][emoji23][emoji23] na hiyo tafadhali sasa.. Nj ya kikwenuBuzi tena?? Badala mume .... omba radhi fasavali