Anonymous
Senior Member
- Apr 6, 2006
- 130
- 379
Rais Samia Suluhu, anadaiwa kufika nchini Zimbabwe pamoja na msafara wake nyumbani kwa mfanyabiashara Wicknell Chivayo kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho (kuhani msiba)/
Kwa mujibu wa mwandishi wa habari wa Zimbabwe, Hopewell Chin’ono, Rais Samia na msafara wake wamewasili katika makazi ya Chivayo kwa ajili ya kushiriki katika tukio hilo la maombolezo.
Chin’ono amesema tukio hilo limefanyika kwa faragha, huku waombolezaji wakizuiwa kutumia kamera na simu za mkononi, na vyombo vya habari kutoruhusiwa kufika katika eneo hilo.
“Hakuna kamera, simu wala vyombo vya habari vinavyoruhusiwa. Kuna zuio kamili la vyombo vya habari, kwa mujibu wa maafisa wa usalama wa serikali waliopo katika makazi hayo,” Chin’ono amedai.
Also
Ndege ya Rais inaonekana kuwa Zimbabwe kweli 👇🏽