chivayo

Wicknell Munodaani Chivayo (born 22 November 1980), also known as Sir Wicknell, is a Zimbabwean businessman and the founder and managing director of Intratrek Zimbabwe (Private) Limited. He is known for his involvement in government tenders, his close public association with President Emmerson Mnangagwa and ZANU-PF, and a series of legal proceedings relating to fraud and money laundering allegations.
Intratrek Zimbabwe was awarded a contract in 2015 to construct a 100-megawatt solar power plant in Gwanda, for which it received an advance payment of US$5 million from the Zimbabwe Power Company (ZPC) without carrying out substantive work on the project. Chivayo faced multiple rounds of criminal prosecution over the advance payment, and was ultimately acquitted in 2024.
In 2024, leaked audio recordings linked him to a US$100 million contract for the supply of election materials to the Zimbabwe Electoral Commission (ZEC). The Zimbabwe Anti-Corruption Commission (ZACC) investigated and announced in December 2025 that it had found no evidence directly linking Chivayo to the transaction.

View More On Wikipedia.org
  1. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mwamposa: Nilimkatalia Chivayo asihudhurie kwenye mkesha wangu

    "Mmeona yule mtu anaitwa Wicknell Chivayo huyu wa Zimbabwe. Maisha yake aliyokuwa anaishi ni kama vile hatakufa. Alitaka kuja kwenye mkesha ambao tulikuwa nao juzi, mimi ndiye nilikataa. - Walipiga Simu anataka kuja kwenye mkesha kutoka Zimbabwe nikasema hapana. Ni kweli anatoa kwa wachungaji...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wiçknell Chivayo na Kasongo money deals

    Gachahua ajitoa mhanga. Chivayo amekufa na Ksh 1.5 Trillion za Ruto Yatakuja mengi, muda utaongea
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua Adai Chivayo Alikuwa na KSh Trilioni 1.5 za Ruto.

    Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, amedai kuwa mfanyabiashara wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, aliyefariki katika ajali ya helikopta pamoja na mkewe na watu wengine, alikuwa akihifadhi zaidi ya KSh trilioni 1.5 zinazodaiwa kuwa za Rais William Ruto. Akizungumza wakati wa mkutano na...
  4. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Maadili CCM : Hili la tapeli Wicknell Chivayo mnafunika kombe?

    Ni jambo la kudikitisha. Licha ya Ikulu kutoa samaam za rambirambi hivi karibuni, lakini huyu Wicknell Chivali wa Zimbabwe amekuja julikana kama tapeli na fisadi mbeba hela za viongozi wezi wa Afrika. Alifikaje Ikulu? Ana biashara gani Ikulu? Analipa kodi? Amefikaje hadi kwa Rais mama Samia...
  5. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Gumzo vijiweni: Utajiri wa Chivayo ulikuwa wa kishirikina

    Wakuu ! Nimeamua kuandika kuhusu huyu Bilionear wa Zimbabwe qliyekufa kwa ajali ya helicopter Habari za vijiweni zinasema kwamba utajiri wake ulikuwa wa punje Nadhani aina hii ya utajiri mmeshawahi kuusikia Mwenye habari zaidi kuhusu ukweli wa utajiri wa huyu jamaa anaweza kutufahamisha
  6. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo mbona hata kwenye orodha ya mabilionea wa Africa hayupo ?

    Hii hapa ni orodha ya matajiri wa Africa mwaka 2026, mbona huyu jamaa hayupo kwenye hii orodha na alitamba na kujulikana kama bilionea?
  7. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Wicknell chivayo kaenda na Password ya mabilioni!

    Abarikiwe mzungu aliyegundua mitandao. Ukweli sasa huwezi uficha uvunguni. Twaona salamu za rambirambi zikimiminika kwenda kwa msiba huu kwa mtu ambaye miradi yake humu nchini wala hatuifahamu. Wicknell Chivayo si mplipa kodi Tanzania au Kenya. Kazi yake sasa iko wazi.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wicknell chivayo kuwa mzima

    Wakuu kwa jicho la tatu narudia Tena kwenye jicho la tatu Kuna possibility chivayo hajafariki katika ajari ile Ila ametengeneza tukio ili sushi kwa huru zaidi kwa maana hivi karibuni alikuwa na msuguano na marekani Kuona isiwe shida ameamua kutengeneza mazingira Kama Yale ya ajari na kwa...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto Aomboleza Kifo cha Rafiki Yake Wicknell Chivayo

    Rais William Ruto anaomboleza kifo cha mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, ambaye alikuwa na uhusiano wa karibu wa kibinafsi na kiongozi huyo wa Kenya. Chivayo, aliyefahamika kwa utajiri wake, maisha ya kifahari na ukaribu wake na viongozi mashuhuri barani Afrika, alikuwa...
  10. Yesha

    JamiiForums Tanzania Maynard Manyowa questions Chivayo funeral as scrutiny of business dealings resurfaces

    Zimbabwean journalist Maynard Manyowa has questioned the circumstances surrounding the handling of Wicknell Chivayo’s funeral and property following the businessman’s death in a helicopter crash, while drawing attention to the controversial business dealings and allegations that followed Chivayo...
  11. Yesha

    JamiiForums Tanzania MORE DETAILS EMERGE FROM CHIVAYO HELICOPTER CRASH

    More details have emerged about the final moments before the helicopter carrying Zimbabwean businessman Wicknell Chivayo, his wife Lucy Muteke and three others crashed near Marondera on Wednesday evening. According to Chivayo’s senior security aide, Froster Chisi, the pilots encountered severe...
  12. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Sir Wicknell chivayo mzimbabwe kwa ccm

    Huyu marehemu Sir Wicknell chivayo mzimbabwe tajiri alitoa mchango mkubwa wa siri kwa ccm. Mchango wake kukichangia chama cha ccm kwa ajili ya kampeni nitauelezea hapa mshangae ni milioni za dola, hii imekuwa siri kubwa sana na wamefanya siri. Usishangae salamu za rambi rambi zikatolewa na...
  13. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Sir Wicknell Chivayo: Maisha, Imani, utajiri na urithi wa mtu aliyeishi kwa kuwagusa wengine

    Kifo cha mfanyabiashara mashuhuri wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, maarufu kama Sir Wicknell, ni msiba ambao umeacha maswali, huzuni na tafakuri kubwa katika familia yake, Zimbabwe na sehemu mbalimbali za Afrika. Chivayo, aliyekuwa na umri wa miaka 43, alifariki katika ajali ya helikopta nchini...
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ametuma salamu kifo cha bilionea Chivayo ,Je kuna uwezekano,kwenda kuhudhuria mazishi yake akiwa yuko EDA?

    Wakuu wa Vyombo,nimeuliza tu! Mkija kunijibu, muwe mnanukuu baadhi ya vifungu vya Quran Takatifu,ili kutupa uelewa zaidi. Karibuni
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chivayo, aliewahi kufungwa jela kwa utapeli na forgery kakimbia na vibubu kabla ya marejesho, kafoji ajali kuanza maisha mapya ughaibuni

    Baada ya kuangalia video hii nimejiuliza maswai mengi Kila mtu anasema kwa mwili ule hakika ni yeye, nguo alizojirekodi akiwa kenye helikopta zinafanana WHAT IF hata ile video iliyoanza kusambazwa haraka mara baada ya taarifa kuna mtaalam wa kupoteza watu alipewa bilioni 1 kuondoa viulizo...
  16. El marabiosh

    JamiiForums Tanzania Nimewaza mengi msiba wa Chivayo

    Nimefikiria sana hao watoto wake jinsi wanavyokuja kuja kua madoni hapo baadae.halafu sasa nika imagine mzee wangu kama akitangulia jinsi nitakavyoteseka maana hana kitu zaidi ya makoti.Daah nimelia sana aiseee iiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiii naombeni kitambaa...
  17. and 998 others

    JamiiForums Tanzania IFM ingefaa ibadilishwe jina na kuitwa WICKNELL CHIVAYO INSTITUTE

    Mwekezaji mkubwa barani Dr Wicknell Chivayo hatunae tena ila legacy yake bado ipo na inaishi. Katika kuenzi mema yote aliyofanya Tanzania basi Chuo cha IFM kibadilishwe jina na kuitwa WICKNELL CHIVAYO INSTITUTE katika kumuenzi Legend! RIP dr
  18. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa acha dharau, toa pole kwa familia ya Chivayo

    Tangu ndugu Samia aende eda, msigwa amekuwa mzembe sana. Ona sasa mama amepata msiba wa rafiki yake wa karibu, yeye kashindwa kujiongeza kutuma salamu za pole kwaniaba ya Samia Suluhu.
  19. E

    JamiiForums Tanzania kipindi yupo hai walimwita sir wicknel chivayo, leo salamu za lambi lambi neno sir limesahaulika

    hivi vyeo watu wanavyojipa kujipamba au wanavyopewa na wapambe ni kwa ajiri ya kuwafurahisha tu wamwage njurugu au mapene au wapate favor kwa hao wakubwa lakini ukiondoka hakuna anayejisumbua tena kuwa mnafiki
  20. Yesha

    JamiiForums Tanzania Beyond the Crash: The Project, Donations, People and causes Chivayo left behind

    Wicknell Chivayo became one of Zimbabwe’s most publicly visible philanthropists, with donations spanning churches, musicians, football clubs, schools, political organisations, journalists, families affected by tragedy and individuals facing financial hardship. His reported giving included...
Back
Top Bottom