Wicknell Chivayo (born 22 November 1982) is a Zimbabwean businessman known for his involvement in government tenders, flamboyant lifestyle, and close associations with the ruling ZANU–PF party. He has garnered both admiration and criticism for his lavish spending and philanthropic gestures, often intertwined with political undertones.
Ni jambo la kudikitisha.
Licha ya Ikulu kutoa samaam za rambirambi hivi karibuni, lakini huyu Wicknell Chivali wa Zimbabwe amekuja julikana kama tapeli na fisadi mbeba hela za viongozi wezi wa Afrika.
Alifikaje Ikulu?
Ana biashara gani Ikulu?
Analipa kodi?
Amefikaje hadi kwa Rais mama Samia...
Watu hawawezi kuamka asubuhi tu na kuanza kushangilia kifo chako, halafu wasio na akili wanasema chuki dhidi ya mtu mwenye pesa bila kuujua ukweli. Watu wakae wakijua hii ishu nzito sana.
Wale ambao ni content creators wanaokopi na kupaste taarifa mbalimbali, wafanye hivyo na hii nimeruhusu ili...
Abarikiwe mzungu aliyegundua mitandao.
Ukweli sasa huwezi uficha uvunguni.
Twaona salamu za rambirambi zikimiminika kwenda kwa msiba huu kwa mtu ambaye miradi yake humu nchini wala hatuifahamu.
Wicknell Chivayo si mplipa kodi Tanzania au Kenya.
Kazi yake sasa iko wazi.
For years, Wicknell Chivayo represented one of the most extravagant faces of Zimbabwean wealth.
His social media pages offered a running display of luxury cars, designer clothes, expensive watches, lavish properties, private aircraft and enormous cash giveaways.
His was a world in which...
Wakuu kwa jicho la tatu narudia Tena kwenye jicho la tatu Kuna possibility chivayo hajafariki katika ajari ile Ila ametengeneza tukio ili sushi kwa huru zaidi kwa maana hivi karibuni alikuwa na msuguano na marekani
Kuona isiwe shida ameamua kutengeneza mazingira Kama Yale ya ajari na kwa...
Rais William Ruto anaomboleza kifo cha mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, ambaye alikuwa na uhusiano wa karibu wa kibinafsi na kiongozi huyo wa Kenya.
Chivayo, aliyefahamika kwa utajiri wake, maisha ya kifahari na ukaribu wake na viongozi mashuhuri barani Afrika, alikuwa...
Zimbabwean journalist Maynard Manyowa has questioned the circumstances surrounding the handling of Wicknell Chivayo’s funeral and property following the businessman’s death in a helicopter crash, while drawing attention to the controversial business dealings and allegations that followed Chivayo...
More details have emerged about the final moments before the helicopter carrying Zimbabwean businessman Wicknell Chivayo, his wife Lucy Muteke and three others crashed near Marondera on Wednesday evening.
According to Chivayo’s senior security aide, Froster Chisi, the pilots encountered severe...
Maisha yana njia nyingi za kuku-humble.
Leo utabebwa kwenye LC300 kupelekwa sokoni, Kesho vipande vya mwili wako vitabebwa kwenye mifuko ya plastic
There is no true meaning to this complicated thing called life.
Huyu marehemu Sir Wicknell chivayo mzimbabwe tajiri alitoa mchango mkubwa wa siri kwa ccm. Mchango wake kukichangia chama cha ccm kwa ajili ya kampeni nitauelezea hapa mshangae ni milioni za dola, hii imekuwa siri kubwa sana na wamefanya siri. Usishangae salamu za rambi rambi zikatolewa na...
Kifo cha mfanyabiashara mashuhuri wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, maarufu kama Sir Wicknell, ni msiba ambao umeacha maswali, huzuni na tafakuri kubwa katika familia yake, Zimbabwe na sehemu mbalimbali za Afrika.
Chivayo, aliyekuwa na umri wa miaka 43, alifariki katika ajali ya helikopta nchini...
Mwekezaji mkubwa barani Dr Wicknell Chivayo hatunae tena ila legacy yake bado ipo na inaishi. Katika kuenzi mema yote aliyofanya Tanzania basi Chuo cha IFM kibadilishwe jina na kuitwa WICKNELL CHIVAYO INSTITUTE katika kumuenzi Legend! RIP dr
Wicknell Chivayo became one of Zimbabwe’s most publicly visible philanthropists, with donations spanning churches, musicians, football clubs, schools, political organisations, journalists, families affected by tragedy and individuals facing financial hardship.
His reported giving included...
Kama ni kweli je, huenda kifo chake kinahusiana na waliompa tenda ili kufuta ushahidi wa moja kwamoja?
Vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi ya Tanzania vina mengi ya kujitafakari.
Kosa lilianzia pale walipo ruhusu bandari yetu ichukuliwe mbele ya macho yao kizembe kabisa.
Prominent Zimbabwean businessman Wicknell Chivayo and his wife, Lucy “Lulu” Muteke, were among six people killed when a private helicopter crashed in Marondera Rural, Mashonaland East Province, on Wednesday evening, September 30, 2026.
The helicopter crashed at about 5pm near Waddilove Mission...
Baada ya kufanya kazi kwa miaka zaidi ya 3 kwenye hospital, na kuwa karibu na wagonjwa wa kila namna, niliona kuwa kifo sio adhabu kwa mtu anayevunja sheria.
Nataka kuona wakiwa mahakamani, wakitoa maelezo nani aliwapa oda, walilipwa shilingi ngapi( au walipewa tu hela za mafuta), wote...
Wahenga walisema kifo ni kifo tu tusizue taharuki lakini kuna wakati kifo ni msiba mzito.
Najaribu kupata picha ya uchungu ulionao, hivi majuzi umempoteza mume wako halali, na Chivayo alikuja kukupa pole.
Jana nayeye kafariki na mke na watoto, najua imekuuma sana.
Ingawa binafsi nimepokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.