Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 10,036
- 20,281
ardhi ni mali ya uma trusted to the president,ni kweli.lakini kuna watu wana interest juu yake, kama vile wanaojenga au kufanya shughuli juu yake. kufanya chochote kinachoathiri maslahi haya ya watu kunatakiwa kufanyika kwa mujibu wa sheria. hata rais hayupo juu ya sheria, hawezi kufanya chochote hata kama kinakuathiri ati kwasababu yeye ni rais.Kuishitaki serikali ama kumshitaki waziri wa ardhi kwenye kesi ya umiliki wa ardhi ni kama unatwanga maji kwenye kinu.
Tambua kwenye katiba yetu ya nchi Rais ndie ana custody ya ardhi yote iliyo ndani ya Tanzania. Yeye ndie ana mamlaka ya kufuta hati ya ardhi yoyote iliyo ndani ya Tanzania.
Rais haitaji hukumu ya mahakama. Ili kufuta hati ya mtu.
Jerry silaa ametumwa na rais ndio maana juzi kapewa sifa nyingi na rais kwamba ndie waziri ambae anafanya kazi nzuri
Ndio maana sheria zimewekwa. AG alishatoa pendekezo sheria zitungwe kuwafanya hawa viongozi wanaotia hasara watu na kusababisha serikali kushtakiwa, wawe responsible kwa matendo yao binafsi. hata hivyo, sidhani kama waziri ana kinga hiyo ya kutoshtakiwa akikiuka sheria, hayupo juu ya sheria, decision yeyote inayoathiri maslahi ya mtu lazima itolewe sababu ya kufanya hivyo na chombo kilichowekwa na sheria kutoa maamuzi/haki. dunia yote ipo hivyo hata nchi yako ya tz ina katiba yake inayoongea hivyo.
shida ni kwamba halmashauri imejaa wanasheria ambao ni weak kwenye practice, na wanawashauri vibaya sana mawazili na viongozi wengine, jerry mwenyewe ni mwanasheria ambaye sina uhakika kama aliwahi kukanyaga mahakamani kama wakili. hao wanasheria wanaowashauri hawa wawe wanapikwa vizuri ili wawashauri vyema wasisababishe hasara kwa wananchi na kwa serikali, pia ili kulinda utawala wa sheria. pasipokuwepo nautawala wa sheria kila mtu atachukua sheria mkononi na patachafuka. kwa mwenye akilia takuwa amenielewa.