Mtoa mada ameuliza swali arafu amejijibu mwenyewe. Kwa kumuongezea majibu yake, safar hii Ina manufaa kwambaMaelezo mengi lakina hakuna hoja ya msingi, mahusiano ya kidiplomasia yanayotaka mataifa fulani pekee kujikomba upande mwingine ndio mnayaita mahusiano sahihi!
Raisi wa USA au Ufaransa akipanga safari yake kuja Africa anaweza kuishia kwenye nchi mbili au tatu tu, cha ajabu na kushangaza ni pale nchi zote 50 na zaidi zilizopo Africa maraisi wake wanataka kwenda Ufaransa au USA, ikibidi hata mara tatu au nne katika mwaka.
Cha kushangaza zaidi, watu wanawasahau wanadiplomasia chungu nzima waliopo kwenye mabalozi duniani kote, wanataka mpaka Raisi aende yeye mwenyewe physically, kwa wenzetu sasa, ukiona manyoya ujue tayari kaliwa nikimaanisha kwamba, ukimuona Obama, Blair au Bush kaja Tanzania tena akiwa madarakani ujue ndio basi tena, kumbuka huwa tunawaondoa mpaka viwete na kudeki lami kwa maana ya kuonyesha hatuna shida (kwa ziara za hapa ndani za raisi ni sawa na kuyakataa mabango yasionyeshwe) ili wakiondoka na dhahabu kama zawadi wasijisikie wanyonge maana wakiona uhalisia ni kama vile kumtembelea mgonjwa baadae unapewa wewe uji wake unywe.
Diplomasia ya maana sana na yakufanyiwa kazi na nchi zetu ni ya EAC, AU, SADC, ECCOWAS n.k. Iwe kama vile wenzetu wanavyo pambania EU, UK, NATO n.k, ndio baadae na sisi sasa tufikilie kujihusisha UN, USA, UK kwa ukaribu baada ya kuwa vizuri nyumbani kidiplomasia. Kumbuka hata adui yeyote akitaka kukuangusha hutumia majirani na mifano mizuri ipo Middle na far East kwenye vita za Iran, Iraq, Kuwait na Korea, Japan, China respectively.
1. Mkuu amekutana na mapokez mazur ya heshma akiwemo mangi kimambi
2.Marais wote walio kuwemo kwenye ukumbi, wamegundua Tanzania tulifiwa na magufuri kupitia hotuba yake na hivyo wametuonea huruma....
3.kupitia hotuba yake, dunia imejua kuwa Tanzania Haina wataalam wa afya wenye kutengeneza chanjo zetu, hivyo ameomba tupewe nyongeza ya chanjo ya nje siku zote
4. Safar yake, baada ya rais wa Zambia kupokelewa Ikulu ya marekan, yeye mpaka amerud Ikulu ya Biden hakuingia. So amejifunza na ss tumejifunza kitu jins wamerekan na dunia wanavyo tuchukulia...
5. Makamo wake amesema alipo achiwa nchi aliogopa Sana. Hivyo mkuu amegundua kwamba makamo kumbe mwogaaaaa. Akiwa rais lasm arafu Gaid waliyemkamata ...., Akitishia tu, mzee BP inaweza kumpanda n.k
So faida ziko nyingi tumemuonzea mtoa mada