Una maana alimkuta Mange Kimambi UN? Alikuwa pia na wafanyabiashara na yake binfsi
Hahahahaaaaa......
Mkuu, you have made me lough hysterically. Lakini baada ya mkutano au mida ya jioni huwa Rais anaweza kukutana na Watz nyumbani kwa Balozi wa Tz! Hapo ndiyo Mange alijichomeka (natumia neno alijichomeka kwasababu yeye ni raia wa US)
 
Samia amekuwa ni rais wa JMT kuanzia tar. 19 March 2021. Kwa uwezo na kipaji alichojaaliwa na Muumba, kisha weza kusafiri nje ya nchi kama ifuatavyo:
1. Uganda - 11 April 2021
2. Kenya - 4 May 2021
3. Msumbiji - 22 June 2021
4. Burundi - 15 July 2021
5. Rwanda - 2 August 2021
6. Malawi - 16 August 2021
7 Zambia - 24 August 2021
8. US - 20 September 2021
9. U K (Glasgow) - 30 October 2021
10. Misri - 10 November 2021
11. …………..

Tuendelee kuhuisha idadi hii kadri rais wetu atakavyojaaliwa.
Masafari
 
Samia amekuwa ni rais wa JMT kuanzia tar. 19 March 2021. Kwa uwezo na kipaji alichojaaliwa na Muumba, kisha weza kusafiri nje ya nchi kama ifuatavyo:
1. Uganda - 11 April 2021
2. Kenya - 4 May 2021
3. Msumbiji - 22 June 2021
4. Burundi - 15 July 2021
5. Rwanda - 2 August 2021
6. Malawi - 16 August 2021
7 Zambia - 24 August 2021
8. US - 20 September 2021
9. U K (Glasgow) - 30 October 2021
10. Misri - 10 November 2021
11. …………..

Tuendelee kuhuisha idadi hii kadri rais wetu atakavyojaaliwa.
Tangu aingie madarakani Mhe. Rais amefanya ziara moja tu ya mbali ya kiserikali ambayo ni hii ya Egypt. Ziara zingine 5 za kiserikali alizofanya ni za kujitambulisha kwa majirani. Rais hajafanya ziara ya kiserikali nje ya bara la Afrika. Yuko makini kiasi kwamba tija ya ziara hizi inazidi matumizi yake.
 
10 November 2021

Breaking News Now
President El-Sisi receives Tanzania's President at Al-Ittihadiya Palace
Source : Presidency of the Arab Republic of Egypt Website

Presidency's website | President Abdel Fattah El-Sisi holds a joint press conference with the President of the Republic of Tanzania



موقع_الرئاسة | الرئيس عبد الفتاح السيسي يعقد مؤتمرًا صحفيًا مشتركًا مع رئيسة جمهورية تنزانيا
 
Mhe. Rais alienda SADC kama mjumbe siyo kama mgeni, aidha, Msumbiji na Malawi kwa nyakati hizo hazikuwa na official state visit toka Tz; ambayo ni bilateral (nchi na nchi) badala yake multilateral (SADC/nchi 16). Tumtendee mama haki anayostahili, hivyo basi hesabu za 8 kwa 10 (idadi ya miezi ya kutamalaki nchi dhidi ya idadi ya ziara) inaweza isiwe hoja yenye ushawishi.

Katika ziara 10 alizofanya, ziara 4 ni za mikutano ya jumuiya za kimataifa (UN, Uskochi, SADC X2), ni ziara 6 tu ndizo za mahusiano ya kimataifa (za kiserikali) kati ya nchi na nchi (Tz na UG, RW, KE, ZM, BI & EG). Tangu aingie madarakani miezi 8 sasa, Mhe. Rais SSH amefanya ziara moja tu ya mbali ya kiserikali ambayo ni hii ya Egypt. Ziara zingine 5 za kiserikali alizofanya ni za kujitambulisha kwa majirani ambayo hii haikwepeki. Rais hajafanya ziara ya kiserikali nje ya bara la Afrika. Tija ya ziara hizi 6 alizofanya Mhe. Rais naamini inazidi matumizi yake. #Tumtendee haki Mhe. Rais.
 
Kwana vipi mbona unalalamika ,kwani nani amesema asitalii, ipo siku Zama zake zitapiata ,na maisha yatasonga, acheni visifa ambavyo havina tija ,Taifa kwanza binadam badae
 
Ziara ni ziara tu, iwe kirafiki, kindugu, kibiashara, kidiplomasia nk. Zote ni ziara za nchi za nje za kimataifa za Rais wa Tanzania wa sasa, Samia Suluhu, na ziara zote zinakuwa zimeambatana na msururu wa watu (wakiwemo makada wa CCM, watu binafsi) na zinagharamiwa na kodi za watanzania.

Sisi tunachofahamu tu ni kuwa, Samia Suluhu anapenda kusafiri nje ya nchi na huenda amepanga kuvunja rekodi ya Jakaya Kikwete.
 
Badala ya kumtetea naona kama unampunguzia...., Kufanya Ziara ni kazi yake wala haipingwi (huenda cha kupinga ni delegation kubwa na ufujaji)

Sasa kama hata hizo so called ziara hazikuwa ziara zilikuwa nini kwenda kusafisha macho ?
 
Tunachotakiwa sote tutafahamu ni kuwa, kila ziara ya Samia Suluhu nje ya nchi, inatumia pesa nyingi, muda mwingi, akili na nguvu nyingi ambazo zingepaswa kutumika kuwahudumia mamilioni ya watanzania wasiokuwa na ajira wala huduma bora za kijamii.
 
Mama Samia ana kazi sana. Wengi wanampima huku reference point ikiwa JPM. Ndiyo shida ya kukamata uongozi huku mtangulizi wako akiwa amefanya mambo makubwa makubwa.
Nafuu reference Iwe kwa Msoga gang, sukumagang ulikuwa mziki mnene.
 
UN haina eneo la kijiografia, kusema US ni sahihi zaidi kisha utofautishe kwamba alienda kwenye ofisi za umoja wa mataifa (UN) zilizo katika nchi ya Marekani
...... but, so what? Tunasema amesafiri kwenda US. Siyo kweli? Last week alikuwa UK-Glasgow. Should we say alikuwa COP26? Why all these bhal! bhla!
 
Hahahahaaaaa......
Mkuu, you have made me lough hysterically. Lakini baada ya mkutano au mida ya jioni huwa Rais anaweza kukutana na Watz nyumbani kwa Balozi wa Tz! Hapo ndiyo Mange alijichomeka (natumia neno alijichomeka kwasababu yeye ni raia wa US)
The point is; A head of state should have inspirational travel. Like it goes, she is trying to discover a new ocean! Why so unprogrammed. Unafika unakokwenda ndo unaambiwa; Oooh! Huyu ni Kimambi oooh! selfie kidogo! Oooh Bhla! Bhla! Rais wa nchi au kitu gani?
 
Back
Top Bottom