Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,152
- 15,605
Patupu Kama shaba tupu!Bibi Da gama pale tulipigwa live.
Hamna kitu pale.
Empty head.
Mwacheni mama achapem kaziBibi yule kwa kuzurura hajambo. Toka aapishwe ni mwendo wa kupishana na kunguru hewani.
Wananchi wanauliza vipi?? mbona mikoani na mashinani haendi kutizama wananchi wake wanaendeleaje?
Bibi huyu ndani ya miezi miwili tu ameshasafiri nje ya nchi zaidi ya mara ishirini. Ati anafungulia diplomasia!
Kutwa kuzurura angani na kulipisha wananchi tozo za ajabu ajabu!
Msafara mmoja unatumia zaidi ya milioni mia moja kwa masaa kadhaa tu! Jamanii hebu oneeni huruma fedha za wananchi!
Bibi Dagama hutufai! Ni heri ujiondokee hapo utupishe kusudi tupate Rais.
Mwacheni mama achapem kazi
Tutampa mitano tena, atake asitake.l
Bibi Tozo.Bibi yule kwa kuzurura hajambo. Toka aapishwe ni mwendo wa kupishana na kunguru hewani.
Wananchi wanauliza vipi?? mbona mikoani na mashinani haendi kutizama wananchi wake wanaendeleaje?
Bibi huyu ndani ya miezi miwili tu ameshasafiri nje ya nchi zaidi ya mara ishirini. Ati anafungulia diplomasia!
Kutwa kuzurura angani na kulipisha wananchi tozo za ajabu ajabu!
Msafara mmoja unatumia zaidi ya milioni mia moja kwa masaa kadhaa tu! Jamanii hebu oneeni huruma fedha za wananchi!
Bibi Dagama hutufai! Ni heri ujiondokee hapo utupishe kusudi tupate Rais.
Madam President anaufungua uchumi, hii ndiyo ilikuwa ahadi yake kubwa, kufuli na funguo za uchumi ametambua zipo nje ya nchi.Bibi yule kwa kuzurura hajambo. Toka aapishwe ni mwendo wa kupishana na kunguru hewani.
Wananchi wanauliza vipi?? mbona mikoani na mashinani haendi kutizama wananchi wake wanaendeleaje?
Bibi huyu ndani ya miezi miwili tu ameshasafiri nje ya nchi zaidi ya mara ishirini. Ati anafungulia diplomasia!
Kutwa kuzurura angani na kulipisha wananchi tozo za ajabu ajabu!
Msafara mmoja unatumia zaidi ya milioni mia moja kwa masaa kadhaa tu! Jamanii hebu oneeni huruma fedha za wananchi!
Bibi Dagama hutufai! Ni heri ujiondokee hapo utupishe kusudi tupate Rais.
Hakunaah! Check hapaMadam President anaufungua uchumi, hii ndiyo ilikuwa ahadi yake kubwa, kufuli na funguo za uchumi ametambua zipo nje ya nchi.
Unashindwa kujenga nchi yako unazurura hovyo kwenye nchi za watu.Madam President anaufungua uchumi, hii ndiyo ilikuwa ahadi yake kubwa, kufuli na funguo za uchumi ametambua zipo nje ya nchi.
Safari hii tunaye mzururajiNdugu zangu kwa wale waliokuwepo humu kwa miaka mingi, kulikuwa na uzi uliokuwa unafuatilia safari za rais Kikwete na gharama za safari zake.
Natoa wito wa menejimenti ya JamiiForums kufuatilia ziara zote, gharama na faida tunazopata kama nchi.
Ahsanteni
Ameweka wazi kifupi cha TZ kuwa ni "tozo" na wala si "Tanzania" kama wengi walivyozoea.Hakunaah! Check hapaView attachment 1905221
Tatizo kubwa ni kwamba CCM walifanya makosa makubwa sana kupitisha majina ya watu wasiokuwa na maandalizi yoyote yale kushika uongozi wa nchi wakati wa kipindi cha awamu ya tano. Matunda yake ndiyo hasa tunayoyaona hii leo.Unashindwa kujenga nchi yako unazurura hovyo kwenye nchi za watu.
Una kila rasilimali, madini, gases, mbuga, mito, wanyama, ardhi safi, bandari kila kitu.... unataka nini?
Kuomba omba tu na kuhusudu mabeberu kama mayatima!
Huyu bibi huyuu!! Hivi Magufuli alimuokota wapi huyu!!
Ni afadhali atembee tu maana ukikaa kama jpm nongwa ukitembea nongwa...Bibi yule kwa kuzurura hajambo. Toka aapishwe ni mwendo wa kupishana na kunguru hewani.
Wananchi wanauliza vipi?? mbona mikoani na mashinani haendi kutizama wananchi wake wanaendeleaje?
Bibi huyu ndani ya miezi miwili tu ameshasafiri nje ya nchi zaidi ya mara ishirini. Ati anafungulia diplomacy!
Kutwa kuzurura angani na kulipisha wananchi tozo za ajabu ajabu!
Msafara mmoja unatumia zaidi ya milioni mia moja kwa masaa kadhaa tu! Jamanii hebu oneeni huruma fedha za wananchi!
Bibi Dagama hutufai! Ni heri ujiondokee hapo utupishe kusudi tupate Rais.
Ufipa mmeandaa mtu au ndio hao mlionao?Tatizo kubwa ni kwamba CCM walifanya makosa makubwa sana kupitisha majina ya watu wasiokuwa na maandalizi yoyote yale kushika uongozi wa nchi wakati wa kipindi cha awamu ya tano. Matunda yake ndiyo hasa tunayoyaona hii leo.