robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 800
- 1,301
CCM mlisema Rostam Aziz ni mtanzania, mfanyabiashara mashuhuri, ni mwenzenu.
Sisi wana Igunga hatumuoni mbunge wetu wa zamani. Haonekani kufuatia hotuba ya Kapteni Tesha.
Taarifa za chini zinasema katimkia Zambia. Tunamuomba mzalendo huyu toka Iran, aje kupiga kura.
Tunachezewa sana! Eti mfanyabiashara!