Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

Msoga anatakiwa kufa tu, period, otherwise hamna kitu kitafanyika, Rostam sio mwanasiasa ni mfanyabiashara yani anaitiwa mali za makenge na wanasiasa (apedomia syndrome) ili wapate tende na halua (RIP Mtikila) na kama mfanyabiashara yoyote mwingine akiona fursa hawezi kuacha!

Tunazunguka saaaana!

hahaha umenikumbusha swaiba wangu Mtikira aliishiwa kipindi fulani akaenda kukopa hela kwa RA.

dah amekufa na hoja yake ya Tanganyika.
RIP mwamba Mtikira .

ndani ya mitaa ya Khartoum Sudan
 
hahaha umenikumbusha swaiba wangu Mtikira aliishiwa kipindi fulani akaenda kulipa hela kwa RA.

dah amekufa na hoja yake ya Tanganyika.
RIP mwamba Mtikira .

ndani ya mitaa ya Khartoum Sudan

Mfanyabiashara ana financial indicators tu na kila senti anayotoa anaifactor tu kwenye ROI, IRR, Risk analysis nk, so wanasiasa kupata kande za siku moja wkt biashara italipa hamna ntu ataacha kubeba mzigo mkuu! Ndio fact, rostam ni rais wa shitholeni kwa kuwa mzawa wa kwanza kauuza ukubwa wake kwa kande za dengu (kama kaini wa bibliani)!

Hata tukiongea na kutoa cheche mdomoni, rostam hajapanda mahali bila kupandishwa
 
Acheni kuchukia matajiri,tafuteni hela vizazi vyenu viepuke makasiriko

Nyie vijana wa CCM wa Masaki -- watu wanafilisi nchi yetu (allegedly) mnasema watu wana makasiriko sijui wivu.

Matajiri duniani wanajulikana sio mabepari uchwara wa Tanzania.

Karibia wote wamepata hela through kujiuzia viwanja, nyumba, na viwanda vya serikali kwa bei za kutupa (allegedly).

Nyie sio Vanderbilts, Rockefellers, Carnegies, wala Morgans etc etc etc.

Jizi atakuwa jizi milele (allegedly).
 
Hata kama anarudi, mtashindwa kunyamazisha sauti za wananchi mtandaoni, elewa hicho. Tuna haki ya kuwa na maoni. Yale mambo ya kihuni yaliyopitiliza mliofanya awamu ya 4 mtashindwa, yamepitwa na wakati. Dunia imefunguka. Hamna kitu mtaweza kufanya ndani ya nchi kisitoke nje. Na ndio kinachoponza vijana watukutu, wamekuwa wajeuri, sasa vitu vyao vimeanikwa na vinaaibisha mtandao mzima.

Hela zinazoibwa, mali zinazonunuliwa ndani na nje ya nchi, hata mkitumia diplomatic passports, mnaacha footprints kila mahali, na mna-advantage ya ufisadi na uharibifu serikalini ambao hai-hold wahalifu accountable but from anywhere at anytime ikitokea serikali ndani au nje ya nchi ambayo iko ready kuwa serious na kuforce wezi na wauaji kuwajibika justice will be served -- inaweza ikachuka miaka 10, 20, hata 100 -- kila kitu kitajulikana na Mungu anavyotujali justice delayed isn't justice denied -- watayapata kotekote.

Kuiba na kutakatisha hela mnabreak international laws -- lakini mkiletewa ushahidi serikali ifanye kazi yenyewe hamna kinachofanyika miaka nenda rudi (allegedly). Mnapewa sovereignty mnaimis-use (allegedly). International co-operation kupinga uhalifu upo -- simumeona Teddy alivyonyanganywa nyumba Paris na magari Geneva -- ndio maana kuna wenye viwanja mia hapa nyumbani (allegedly) -- it is easier kumake sure serikali ya hapa inabaki ilivyokuliko kurisk kunanganywa mali huko nje.
Hakuna serikali ya wasafi kwa asilimia 100 duniani, haipo hata moja. Roma inayoongozwa na Papa ina ufisadi sembuse Tanzania!.

Katikati ya vita za kupambana na ufisadi yapo mengi chanya yanayofanyika kila kukicha.
 
Magu suala la Lissu hawezi kuruka
Aliamuwa kufunika kombe tu Jpm si wa kumuua lis kwa stail ile yani mi boss wako ninakulipa mshahara nakujuwa adi unapokunya nishindwe kukumaliza kirafiki?kwanini itumike njia ya kishenzi jpm alitakuwa kwamba he fuvcked up with this . What if angeruhusu uchunguzi alafu ikagundulika ni mtu mkubwa kama yeye ingeleta taswira gani,ok muda umepita jpm keshakufa kwanini adi leo file la lis halijafufuliwa? Na bado anapitia mateso mengine. Likifufuliwa la Lis bas na jpm kifo chake kitatakiwa kufanyiwe uchunguzi wa huru
 
Nchi inahitaji uongozi ulio bora, ukisolve hili utakuwa umesolve matatizo yooote ya Tanzania.

Uongozi Bora hauji bure bure unakuja na sacrifice kubwa ya damu, hii huja automatically nchi ikiwa na hao watu bora nje au ndani ya mfumo.
Mfanyabiashara ana financial indicators tu na kila senti anayotoa anaifactor tu kwenye ROI, IRR, Risk analysis nk, so wanasiasa kupata kande za siku moja wkt biashara italipa hamna ntu ataacha kubeba mzigo mkuu! Ndio fact, rostam ni rais wa shitholeni kwa kuwa mzawa wa kwanza kauuza ukubwa wake kwa kande za dengu!

Hata tukiongea na kutoa cheche mdomoni, rostam hajapanda mahali bila kupandishwa

Mzee tuliza munkari, Oligarchs wapo kila Taifa duniani na wengi wanaoperate na dola.
Nguvu ya Oligarchs ndio inarun Dunia.
Yake mabwanyenye pale Manhattan ndio USA na ndio yanaamua mustakabari wa USA na kufinance ujinga wote.

Big Tycoon woote in Arabs world ni from rulers family, kitu kizuri wametengenezea watu maisha mazuri lakini ukigusa tu mfumo wao wa utawala, unakufa.

Ndio maana Oligarchs wa Russia walipigwa vikwazo maana walionekana ndio nguvu ya Putin ilipo, Oligarchs wengi wa Russia are made by the state.

In dark world we say, "if you want to win beat the system". Ndio maana unaona matycoon wote duniani wanadeal na Serikali.

Shida ya Oligarchs wa Tanzania, hawawezi kula na vipofu, wameshindwa kuwaondolea watu umasikini na kuwafanya waishi vizuri, wangefanikiwa katika hili hakuna ambaye angewasumbua.

ndani ya mitaa ya Khartoum Sudani.
 
Magu hawezi kukwepa suala Lissu hakuna mtu anaeweza kuamrisha CCTV camera zitolewe kwenye makazi wanakaa mawaziri haiwezekani
Aliamuwa kufunika kombe tu Jpm si wa kumuua lis kwa stail ile yani mi boss wako ninakulipa mshahara nakujuwa adi unapokunya nishindwe kukumaliza kirafiki?kwanini itumike njia ya kishenzi jpm alitakuwa kwamba he fuvcked up with this . What if angeruhusu uchunguzi alafu ikagundulika ni mtu mkubwa kama yeye ingeleta taswira gani,ok muda umepita jpm keshakufa kwanini adi leo file la lis halijafufuliwa? Na bado anapitia mateso mengine. Likifufuliwa la Lis bas na jpm kifo chake kitatakiwa kufanyiwe uchunguzi wa huru
LA
 
Richmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA.

Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 .

Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!.

Jamaa akainunua Petra Diamonds na ndiye mfadhili wa Royal Tour.

Na sasa RA ndo anaiendesha serikali ya Malawi hapo kwa 100%

Huyu huyu RA baada ya kaka Fulan wa Upinzani kuanza kuingilia masuala ya Makaa ya stone akapiga simu muda huo huo

Kwa Marco Chilya kwamba kijana awekwe ndani na hakujua chaji ipi apewe kwa muda huo hadi walipowasiliana zaidi kupitia namba 071500...56,

Lissu yuko ndani kwa maelezo ya Rostam mkuu wa kaya kwa kuwa wameingilia ugali wao.

Hii ya makaa ya Mawe kupitia sasa kwa Athumani Kilatimi wa Lindi amepewa jukumu la kumsaka Humphrey Polepole !!

Baadae naendelea hii ni 1/100 hints za Uzi ujao

Mtandao wa Msoga Gang ndio upo madaeakani kwa Sasa, na ndio unaoendesha nchi hii kwa sasa.
 
Hakuna serikali ya wasafi kwa asilimia 100 duniani, haipo hata moja. Roma inayoongozwa na Papa ina ufisadi sembuse Tanzania!.

Katikati ya vita za kupambana na ufisadi yapo mengi chanya yanayofanyika kila kukicha.

Papa anarule Vatican sio Rome.

Ndiyo ufisadi huko kote lakini wa kwetu uko at a crippling level -- level ambayo inazorotesha na kuua kila kitu -- uchumi na watu.
 
Back
Top Bottom