Mr Attorney
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 25,536
- 34,680
Kununua groceries au siyoMbona huwa naingiaga mkuu
Kununua groceries au siyoMbona huwa naingiaga mkuu
Hawa viongozi hawakuwa matajiri hapo kablaHakuna jipya kutoka kwa britanicca labda kwa washamba tu. Umaskini na chuki kwa matajiri utawaua kabla ya umri zenu.
Mods wameudelete fastaPart 2 iko wapii
Sana shem, Niko salama .Shemeji u hali gani?, naona Ume chelewa kuamka 😅
Nchi inahitaji uongozi ulio bora, ukisolve hili utakuwa umesolve matatizo yooote ya Tanzania.
Uongozi Bora hauji bure bure unakuja na sacrifice kubwa ya damu, hii huja automatically nchi ikiwa na hao watu bora nje au ndani ya mfumo.
Mzee tuliza munkari, Oligarchs wapo kila Taifa duniani na wengi wanaoperate na dola.
Nguvu ya Oligarchs ndio inarun Dunia.
Yake mabwanyenye pale Manhattan ndio USA na ndio yanaamua mustakabari wa USA na kufinance ujinga wote.
Big Tycoon woote in Arabs world ni from rulers family, kitu kizuri wametengenezea watu maisha mazuri lakini ukigusa tu mfumo wao wa utawala, unakufa.
Ndio maana Oligarchs wa Russia walipigwa vikwazo maana walionekana ndio nguvu ya Putin ilipo, Oligarchs wengi wa Russia are made by the state.
In dark world we say, "if you want to win beat the system". Ndio maana unaona matycoon wote duniani wanadeal na Serikali.
Shida ya Oligarchs wa Tanzania, hawawezi kula na vipofu, wameshindwa kuwaondolea watu umasikini na kuwafanya waishi vizuri, wangefanikiwa katika hili hakuna ambaye angewasumbua.
ndani ya mitaa ya Khartoum Sudani.
Ule uzi mwingine ulioachia sidhani kama mods watauachaJana ukuona Uzi imeenda
Net Group Solution ya TanescoNet proof
Hakuna muendelezo wa uzi, mtoa dokezo yuko mafichoni bado.Sana shem, Niko salama .
Je kuna muendelezo wa uzi?
Hawa viongozi hawakuwa matajiri hapo kabla
Net Group Solution ya Tanesco
Usikae ya dereva tuSiti ya mbele kushoto
Yapi hayo yanayofanyika, embu tutajie.Hakuna serikali ya wasafi kwa asilimia 100 duniani, haipo hata moja. Roma inayoongozwa na Papa ina ufisadi sembuse Tanzania!.
Katikati ya vita za kupambana na ufisadi yapo mengi chanya yanayofanyika kila kukicha.
Nakuelewa sana mkuu na ni kwamba umeongezea uzito tu wa hoja niliyotoa, kwamba wafanyabiashara/wajasiriamali wanaitwa na wanasiasa/watawala waliowekwa na wananchi (assuming) then wanatengenezwa kuwa oligarchs kwa parcent chache za kukickback kwa watawala, so hata ungekuwa wewe umeitwa kwenye sinia la pilau ili utoe visource kadhaa kwa mlango wa nyuma ungechukua mzigo utajirike na kukana imani yako whether ni mkristo, muisllamu, buddha, mkomunisti, mliberali au wa imani ingine yoyote,
Imani za binadamu zinaundwa kwa lengo la kufika tunapotarajia, so ikitokea utaamini imani yako au maombi yako yamekupa muujiza wa kuitwa sahani kuu na maisha yanaanza upya, the same to rostam, simsupport though!
Mkuu mengi sana yanafanyika, tembea mkoa mzima wa Pwani uone viwanda vinavyojengwa kila kukicha.Yapi hayo yanayofanyika, embu tutajie.
Ufisadi upo kila sehemu lkn kuna watu wana-pay the price, wewe tangu kuzaliwa kwako uliishawahi kuona fisadi yoyote Tz kashughurikiwa, nani??
Ufisadi unaimbwa miaka nenda rudi, CAG wote wanalalamika kila mwaka, uliishawahi ona kuna kitu kinafanyika??