Wewe pundit! Je? unaweza ukatuthibitishia mtikila ni fisadi kiasi gani!Mtikila inabidi aelewe au akubali kuwa
1. Mtu unapopewa fadhila makali yako na objectivity inapungua, unakosa uhuru.
2. Mkopo ni fadhila.
3. Watu tunaweza kuamini kuwa hata kama alikuwa anampigia kelele Rostam inawezekana alikuwa anam blackmail ili asamehewe deni ikiwezekana hata "akopeshwe" tena hela ambazo hatalipa.
4.Amekuwa na hiki kitabia cha kula na mafisadi, hii sasa ni pattern na wala si mara ya kwanza. Ana nyumba Mikocheni B kule karibu na maghorofa ya Bima, alishindwa kurudisha mkopo TIB, wahindi wakainunua nyumba ile na kumrudishia ili asiwandame.Mtu kama huyu hafai.
kitendo Cha Mtikila Kupokea Fedha Kutoka Kwa Ra Lakini Baadaye Kutokuona Haya Kukemea Ufisadi Ilipobidi (tena Wa Mtu Yuleyule Aliyetoa Fedha) Kichukuliwe Kuwa Ni Somo Zuri Kwa Wapiga Kura. Wapiga Kura Wakipewa Hongo Au Takrima Na Mafisadi Wakati Wa Uchaguzi Wapokee Lakini Hiyo Isiwafanye Waone Haya Kuwanyima Kura Mafisadi. Watanzania Wakifanya Hivyo, Mafisadi Wataacha Kutumia Hongo Kama Njia Ya Kuwanunua Watu, Maana Watao Njia Hiyo Halipi. Hili Ndilo Somo Tupatalo Kutoka Kwa Mtikila.
Wanaosema Mtikila Angeenda Kukopa Fedha Bank Badala Ya Kwenda Kwa Ra Nadhani Wanasahau Kuwa Hata Benki Kwneyewe Kuna Mafisadi. Hili Linadhihirishwa Na Scandal Nzima Ya Bot Na Fedha Za Epa Ambapo Tunaambiwa Kuwa Bank Kadhaa Zilihusika Kupitisha Fedha Za Mafisadi. Je, Wenye Account Kwenye Bank Zilizoshiriki Pitisha Fedha Hizo Na Wale Wanaokopa Kutoka Bank Hizo Waote Ni Mafisadi?
Nadhani Tunahitaji Kufakari Vizuri Swala La Mtikila Kupokea Fedha Kutoka Kwa Rostam Kabla Hatujamtolea Shutuma Kuwa Na Yeye Ni Fisadi. Vinginevyo, Kila Mtanzania Atakuwa Ni Fisadi, Maana Anaishi Katika Nchi Ambako Viongozi Wake Ni Mafisadi.
Hapa Mtikila ni dhahiri ni mnafiki,unawezaje kwenda kukopa kwa mtu ambaye fedha zake zinanuka?wafanyabiashara wote hao alimwona Rostam tu?hapa mpiganaji wetu alichemsha akiri tu wala hakuna ubaya.Kama umeamua kupambana na mtu unapambana naye 100% sio unabana na kuachia kwani hata biblia inasema "amua sasa kuwa wa moto au wa baridi" sasa yeye hapo katuonesha kuwa alikuwa vuguvugu. Njaa bwana mbaya sana.Tarehe 14 april 2008 Rostam tayari alikuwa na tuhuma za ufisadi sasa mtikila alipata wapi nguvu za kwenda kubisha hodi kwa Rostam?awe alikopa au alipewa it does not make any difference suala kubwa hapo ni je,alikopwa au kupewa pesa chafu na mtu mchafu?Breaking News on ITV:
Mtikila anena: Kumfikisha Rostam kwenye vyombo vya sheria. Rostam aligushi stakabadhi. Mtikila anazo stakabashi halisi. There is no mention of a church. Nilikopa deni binafsi kwake, sio kanisa. Asitake kuficha aibu ya kugushi, kusingizia milioni tatu. Nitamlipa. Alinikopa mimi. Sio kanisa, na kanisa lenyewe lipi hilo (inaonyeshwa stakabadhi, yaani, ni kama Mtikila anavyosema... contribution to a church! .. which church?)
Haya, mambo ndio yameanza. Waliokuwepo kwenye mkutano walete habari. Tukae mkao wa kula... Tutaona mengi kabla 2008 haijaisha... ni wakati wa historia...
Mtikila ni Mpuzzi ..Hata akisema neno lipi hatutamuelewa,alienda kuomba Pesa?unaenda kuomba pesa kwa adui yako...Kuna Upinzani kweli??Mie nakwambia tukianza kutaja Majina kwa wale waliopo kwenye Payroll za Rostam Mtashangaa
Sielewi anamaanisha nini kuwa alikopa kama mtu binafsi, yaani RA amekuwa benki au SACCOSS kwanini akakope pesa chafu na kuzisaidia kuwa pesa safi? hapo mch. amechemsha kwani tayari credibilty yake kama mpinzani na mwana harakati wa kufuta ufisadi imeingia doa.
Washauri wake mshaurini aombe msamaa kwa fisadi mwenzie waendelee kura pamoja pesa za nchi kwani na yeye ni fisadi vilevile kwa kusaidia fisadi kusafisha pesa chafu.
Hapa Mtikila ni dhahiri ni mnafiki,unawezaje kwenda kukopa kwa mtu ambaye fedha zake zinanuka?wafanyabiashara wote hao alimwona Rostam tu?hapa mpiganaji wetu alichemsha akiri tu wala hakuna ubaya.Kama umeamua kupambana na mtu unapambana naye 100% sio unabana na kuachia kwani hata biblia inasema "amua sasa kuwa wa moto au wa baridi" sasa yeye hapo katuonesha kuwa alikuwa vuguvugu. Njaa bwana mbaya sana.Tarehe 14 april 2008 Rostam tayari alikuwa na tuhuma za ufisadi sasa mtikila alipata wapi nguvu za kwenda kubisha hodi kwa Rostam?awe alikopa au alipewa it does not make any difference suala kubwa hapo ni je,alikopwa au kupewa pesa chafu na mtu mchafu?
Wanandugu Nimefurahishwa Kusikia Ndugu Yetu :::::::::::
Rostam Kumbe Alikuwa Akila Hizo Pesa Tunazozilalamikia Na Watanzania Wengine Na Haohao Tunakaa Nao Wanatungonga
Kwamba Ni Fisadi!!!!!!!nimepata Nguvu Kidogo Kumpongeza Kijana Huyu Kama Kweli Aliweza Kumpa Mtu Sh Million 3,,wangapi Ambao Wamepewa Wakakaa Kimya Na Wengine Wakisaidia Kumsafisha!@@#
Ni Vyema Tukawa Makini Hasa Tunapolalamika!!!!1
Lingine Nimehuishwa Kujua Kumbe Mzee Wetu Ni Bank Ya Wachache Iliyojifisha ...yaaa Ni Hazina Ya Watanzania!!!!wachache...leo Hii Nilikuw N Ajamaa Yangu Kumuuliza Huyu Jamaa Inawezekana Anaendesha Bank Ya Sirisiri Na Hivyo Bot Wanaitaji Kumchunguza Na Kujua Uhalali Wa Ofisi Yake!!!!!!kama Tulivyoona Baadhi Ya Stakabadhi Zake Halisi!!!!am Kidd
Mzeee Tukumbuke Basi Na Jf!!!!!tukumwagie Sifa Huuku Mzeee
Email Zetu Ni Zile Zile jina@jamiiforums.com
Tuufurahie Ufalme Wako Mzee Najua Hutotwacha Hii Ndio Jf Fundisha Rekebisha!!!1