Rostam aibukia kanisani!

Kaka Ukumalizia Hili!!!!!kumpeleka Mahakamani Rostam Kwa Kupata Ubunge Wakatai Si Raia Wa Tanzania Yaleyale!!!!!!!!!!!!




rostam



+



tanzania





========================= Iranian
 
Mtikila inabidi aelewe au akubali kuwa

1. Mtu unapopewa fadhila makali yako na objectivity inapungua, unakosa uhuru.

2. Mkopo ni fadhila.

3. Watu tunaweza kuamini kuwa hata kama alikuwa anampigia kelele Rostam inawezekana alikuwa anam blackmail ili asamehewe deni ikiwezekana hata "akopeshwe" tena hela ambazo hatalipa.

4.Amekuwa na hiki kitabia cha kula na mafisadi, hii sasa ni pattern na wala si mara ya kwanza. Ana nyumba Mikocheni B kule karibu na maghorofa ya Bima, alishindwa kurudisha mkopo TIB, wahindi wakainunua nyumba ile na kumrudishia ili asiwandame.Mtu kama huyu hafai.
Wewe pundit! Je? unaweza ukatuthibitishia mtikila ni fisadi kiasi gani!
 
Kitendo cha Mtikila kupokea fedha kutoka kwa RA lakini baadaye kutokuona haya kukemea ufisadi ilipobidi (tena wa mtu yuleyule aliyetoa fedha) kichukuliwe kuwa ni somo zuri kwa wapiga kura. Wapiga kura wakipewa hongo au takrima na mafisadi wakati wa uchaguzi wapokee lakini hiyo isiwafanye waone haya kuwanyima kura mafisadi. Watanzania wakifanya hivyo, mafisadi wataacha kutumia hongo kama njia ya kuwanunua watu, maana wataona njia hiyo halipi. Hili ndilo somo tupatalo kutoka kwa Mtikila.

Wanaosema Mtikila angekwenda kukopa fedha Bank badala ya kwenda kwa RA nadhani wanasahau kuwa hata Benki kweyewe kuna mafisadi. Hili linadhihirishwa na scandal nzima ya BOT na fedha za EPA ambapo tunaambiwa kuwa Bank kadhaa zilihusika kupitisha fedha za mafisadi. Je, wenye account kwenye Bank zilizoshiriki kupitisha fedha hizo na wale wanaokopa kutoka Bank hizo wote ni mafisadi?

Nadhani tunahitaji kutafakari vizuri swala la Mtikila kupokea fedha kutoka kwa Rostam kabla hatujamtolea shutuma kuwa na yeye ni fisadi. Vinginevyo, kila Mtanzania atakuwa ni fisadi, maana anaishi katika nchi ambako viongozi wake ni mafisadi.
 
Ampeleke mahakamani mara moja na sasa ni wazi mambo yaenda yakiwa mambo!
Mtikila hata kama ana yake lakini sasa tuko pamoja na yeye akiyumba haina maana wazalendo wote watayumba!
AMBURUZE MAHAKAMANI MARA MOJA ILI KILA MTU AJUWE KUWA SASA GAME LIMEANZA!
SASA SI MTIKILA MWENYEWE ANAYEMTAFUTA...BALI NI WAZALENDO!
 
kitendo Cha Mtikila Kupokea Fedha Kutoka Kwa Ra Lakini Baadaye Kutokuona Haya Kukemea Ufisadi Ilipobidi (tena Wa Mtu Yuleyule Aliyetoa Fedha) Kichukuliwe Kuwa Ni Somo Zuri Kwa Wapiga Kura. Wapiga Kura Wakipewa Hongo Au Takrima Na Mafisadi Wakati Wa Uchaguzi Wapokee Lakini Hiyo Isiwafanye Waone Haya Kuwanyima Kura Mafisadi. Watanzania Wakifanya Hivyo, Mafisadi Wataacha Kutumia Hongo Kama Njia Ya Kuwanunua Watu, Maana Watao Njia Hiyo Halipi. Hili Ndilo Somo Tupatalo Kutoka Kwa Mtikila.

Wanaosema Mtikila Angeenda Kukopa Fedha Bank Badala Ya Kwenda Kwa Ra Nadhani Wanasahau Kuwa Hata Benki Kwneyewe Kuna Mafisadi. Hili Linadhihirishwa Na Scandal Nzima Ya Bot Na Fedha Za Epa Ambapo Tunaambiwa Kuwa Bank Kadhaa Zilihusika Kupitisha Fedha Za Mafisadi. Je, Wenye Account Kwenye Bank Zilizoshiriki Pitisha Fedha Hizo Na Wale Wanaokopa Kutoka Bank Hizo Waote Ni Mafisadi?

Nadhani Tunahitaji Kufakari Vizuri Swala La Mtikila Kupokea Fedha Kutoka Kwa Rostam Kabla Hatujamtolea Shutuma Kuwa Na Yeye Ni Fisadi. Vinginevyo, Kila Mtanzania Atakuwa Ni Fisadi, Maana Anaishi Katika Nchi Ambako Viongozi Wake Ni Mafisadi.

Pointi Hii Ni Kama Hitimisho La Mjadala Huu!
Na Wananchi Wayasikilize Maoni Haya Na Si Mengineyo Yoyote Yale!
Wananchi Fungueni Macho Na Masikio Yenu!
 
Mimi hainingii akilini kwa alienda kukopa kwake in the first place!

So he should stop this crap about kwenda mahakamani..siasa zake za mahakamani tunajua ndo zinamweka mjini lakini kwa hili......of all the places akakope kwa RA hata kama ni mkopo binafsi? Au ana bad credit score?
 
Wanandugu Nimefurahishwa Kusikia Ndugu Yetu :::::::::::
Rostam Kumbe Alikuwa Akila Hizo Pesa Tunazozilalamikia Na Watanzania Wengine Na Haohao Tunakaa Nao Wanatungonga
Kwamba Ni Fisadi!!!!!!!nimepata Nguvu Kidogo Kumpongeza Kijana Huyu Kama Kweli Aliweza Kumpa Mtu Sh Million 3,,wangapi Ambao Wamepewa Wakakaa Kimya Na Wengine Wakisaidia Kumsafisha!@@#
Ni Vyema Tukawa Makini Hasa Tunapolalamika!!!!1

Lingine Nimehuishwa Kujua Kumbe Mzee Wetu Ni Bank Ya Wachache Iliyojifisha ...yaaa Ni Hazina Ya Watanzania!!!!wachache...leo Hii Nilikuw N Ajamaa Yangu Kumuuliza Huyu Jamaa Inawezekana Anaendesha Bank Ya Sirisiri Na Hivyo Bot Wanaitaji Kumchunguza Na Kujua Uhalali Wa Ofisi Yake!!!!!!kama Tulivyoona Baadhi Ya Stakabadhi Zake Halisi!!!!am Kidd

Mzeee Tukumbuke Basi Na Jf!!!!!tukumwagie Sifa Huuku Mzeee
Email Zetu Ni Zile Zile jina@jamiiforums.com
Tuufurahie Ufalme Wako Mzee Najua Hutotwacha Hii Ndio Jf Fundisha Rekebisha!!!1
 
wakati watu wanasema viongozi wa pande zote mbili kulia na kushoto wanapanga follen kwa benki bubu kwenda kukopa aka kuzibwa mdomo wewe unafikiri uongo, huyo mmoja ambaye hatukumtegemea subiri siku moja benki bubu itakapo amua kutaja wadeni wake wote utashangaa.
 
Breaking News on ITV:

Mtikila anena: Kumfikisha Rostam kwenye vyombo vya sheria. Rostam aligushi stakabadhi. Mtikila anazo stakabashi halisi. There is no mention of a church. Nilikopa deni binafsi kwake, sio kanisa. Asitake kuficha aibu ya kugushi, kusingizia milioni tatu. Nitamlipa. Alinikopa mimi. Sio kanisa, na kanisa lenyewe lipi hilo (inaonyeshwa stakabadhi, yaani, ni kama Mtikila anavyosema... contribution to a church! .. which church?)

Haya, mambo ndio yameanza. Waliokuwepo kwenye mkutano walete habari. Tukae mkao wa kula... Tutaona mengi kabla 2008 haijaisha... ni wakati wa historia...
Hapa Mtikila ni dhahiri ni mnafiki,unawezaje kwenda kukopa kwa mtu ambaye fedha zake zinanuka?wafanyabiashara wote hao alimwona Rostam tu?hapa mpiganaji wetu alichemsha akiri tu wala hakuna ubaya.Kama umeamua kupambana na mtu unapambana naye 100% sio unabana na kuachia kwani hata biblia inasema "amua sasa kuwa wa moto au wa baridi" sasa yeye hapo katuonesha kuwa alikuwa vuguvugu. Njaa bwana mbaya sana.Tarehe 14 april 2008 Rostam tayari alikuwa na tuhuma za ufisadi sasa mtikila alipata wapi nguvu za kwenda kubisha hodi kwa Rostam?awe alikopa au alipewa it does not make any difference suala kubwa hapo ni je,alikopwa au kupewa pesa chafu na mtu mchafu?
 
Wakiambiwa SERIKALI iko MIKONONI MWA MAFISADI WA NDANI NA NJE YA NCHI WANABISHA!

Huyu mtu NDIYO SERIKALI YETU KWASASA!

NI KWELI INAWEZEKANA KATUMWA...JE KATUMWA NA NANI?

Ila sasa haya mambo ni BALAA!

Inakuwa vipi huyu mtu anunuwe nchi?

TUNATAKA MKATABA WAKE WA KUINUNUWA TZ UFUTWE MARA MOJA NA AWEKWE NDANI!

HIVI NYIE WANANCHI MNASUBIRI NINI?
 
Mtikila ana orodha ndefu sana ya kuwapeleka mahakamani kesha peleka wangapi?
 
Sielewi anamaanisha nini kuwa alikopa kama mtu binafsi, yaani RA amekuwa benki au SACCOSS kwanini akakope pesa chafu na kuzisaidia kuwa pesa safi? hapo mch. amechemsha kwani tayari credibilty yake kama mpinzani na mwana harakati wa kufuta ufisadi imeingia doa.

Washauri wake mshaurini aombe msamaa kwa fisadi mwenzie waendelee kura pamoja pesa za nchi kwani na yeye ni fisadi vilevile kwa kusaidia fisadi kusafisha pesa chafu.
 
Aibu iliyoje kwa Mtikila na upinzani!! kama kweli alichukua fedha au mshiko wowote kutoka kwa Rostam au kwa gabachori yoyote ni wazi kuwa njaa na kuendekeza umasikini inauwa upinzani nchini mwetu.
Tumekuwa tukisikia tuhuma hizi kuwa kuna wapinzani kadhaa huwa wanavuta mshiko kimya kimya kutoka CCM na kuharibu upinzani sasa hili liwe fundisho kwa wananchi kuhusu wapinzani!!..Nadhani kuna haja ya kuwa na wagombea binafsi kuliko kutegemea watu kama akina Mtikila na wengine kutuongoza katika mapambo dhidi ya umasikini na dhuluma za CCM...


Wembe.
 
Mtikila ni Mpuzzi ..Hata akisema neno lipi hatutamuelewa,alienda kuomba Pesa?unaenda kuomba pesa kwa adui yako...Kuna Upinzani kweli??Mie nakwambia tukianza kutaja Majina kwa wale waliopo kwenye Payroll za Rostam Mtashangaa

Kwa nini usianze kuwataja ili wawekwe wazi? Ingesaidia sana kukagua wanayosema.

Lakini hilo la mkopo je lina ukweli maana wengine hatulijui?
 
Sielewi anamaanisha nini kuwa alikopa kama mtu binafsi, yaani RA amekuwa benki au SACCOSS kwanini akakope pesa chafu na kuzisaidia kuwa pesa safi? hapo mch. amechemsha kwani tayari credibilty yake kama mpinzani na mwana harakati wa kufuta ufisadi imeingia doa.

Washauri wake mshaurini aombe msamaa kwa fisadi mwenzie waendelee kura pamoja pesa za nchi kwani na yeye ni fisadi vilevile kwa kusaidia fisadi kusafisha pesa chafu.

Ina maana tunapokopa , au wewe mwenyewe unapokopa , ulishawahi kumuuliza aliyekukopesha kwamba kazipataje hizo pesa anazokukopesha?

benki ngapi ambazo zinashiriki katika biashara za siraha na watu bado wanakopa?

ama chukulia mfano wa barclays bank, kuna mtu alishawahi kusema kwamba capital yao inatokana na utumwa hivyo let us stop investing,

lakini pia ulishawahi kujiuliza kwa nini watu mpaka leo bado wanafanya biashara na watu kama hao?

haya ni mambo ya kutaka kuchafuana tu, sababu ukiongelea suala la kughushi nyaraka kuna watu wanaghushi mpaka mihuli ya ikulu.
 
Angalau sasa tunajua anapokimbilia Mtikila anapokuwa na shida. RIP Mtikila and his politics.
 
Hapa Mtikila ni dhahiri ni mnafiki,unawezaje kwenda kukopa kwa mtu ambaye fedha zake zinanuka?wafanyabiashara wote hao alimwona Rostam tu?hapa mpiganaji wetu alichemsha akiri tu wala hakuna ubaya.Kama umeamua kupambana na mtu unapambana naye 100% sio unabana na kuachia kwani hata biblia inasema "amua sasa kuwa wa moto au wa baridi" sasa yeye hapo katuonesha kuwa alikuwa vuguvugu. Njaa bwana mbaya sana.Tarehe 14 april 2008 Rostam tayari alikuwa na tuhuma za ufisadi sasa mtikila alipata wapi nguvu za kwenda kubisha hodi kwa Rostam?awe alikopa au alipewa it does not make any difference suala kubwa hapo ni je,alikopwa au kupewa pesa chafu na mtu mchafu?

Hapo ndipo palikuwa na msingi wa mimi kumpa sapoti MTIKILA KAMA ULIFUATILIA HUU MJADALA JANA!

Nilisema wazi kabisa inategemea na tarehe ya kupewa mkopo huo ama pesa hizo.

Sasa kama ni APRIL 2008...Hii ni VERY DISTURBING!

Ila sasa ndugu zangu...HATUTAKI UPINZANI AMA TAIFA LIGAWANYIKE!
Na ndio maana nawashangaa kama hamtafanya juu chini ili wananchi waletwe pamoja behind one course and one mission.

Sasa kama mkimponda Mtikila na huku hakuna mwingine yeyote aliye na COALITION YA KUFUNGUWA KESI NA WAKATI HUO HUO CHADEMA NAKO HAKUNA USHWARI?

Ni vizuri tusiwaangalie watu kwa misingi hiyo...Kwasababu matatizo hayo tunayompigia nayo kelele Mtikila yako kila mahali kwenye vyama vyote vya kisiasa nchini!

Ni muhimu tujuwe kuwa Mtikila naye ni MLALAHOI TU!

Na kama kweli angekuwa na nia mbaya moja kwa moja basi na yeye angekuwa kama kina MARANDO NA LAMWAI ambao wao wanakula kiulaini tu na mambo ya siasa wao hawana mpango licha ya kwamba wao kama wanasheria na wasomi wanaijuwa hii issue vizuri sana tu.

Hata hivyo bado tuna wazalendo wengi tu na tunataka hawa watu waje pamoja!
 
Wanandugu Nimefurahishwa Kusikia Ndugu Yetu :::::::::::
Rostam Kumbe Alikuwa Akila Hizo Pesa Tunazozilalamikia Na Watanzania Wengine Na Haohao Tunakaa Nao Wanatungonga
Kwamba Ni Fisadi!!!!!!!nimepata Nguvu Kidogo Kumpongeza Kijana Huyu Kama Kweli Aliweza Kumpa Mtu Sh Million 3,,wangapi Ambao Wamepewa Wakakaa Kimya Na Wengine Wakisaidia Kumsafisha!@@#
Ni Vyema Tukawa Makini Hasa Tunapolalamika!!!!1

Lingine Nimehuishwa Kujua Kumbe Mzee Wetu Ni Bank Ya Wachache Iliyojifisha ...yaaa Ni Hazina Ya Watanzania!!!!wachache...leo Hii Nilikuw N Ajamaa Yangu Kumuuliza Huyu Jamaa Inawezekana Anaendesha Bank Ya Sirisiri Na Hivyo Bot Wanaitaji Kumchunguza Na Kujua Uhalali Wa Ofisi Yake!!!!!!kama Tulivyoona Baadhi Ya Stakabadhi Zake Halisi!!!!am Kidd

Mzeee Tukumbuke Basi Na Jf!!!!!tukumwagie Sifa Huuku Mzeee
Email Zetu Ni Zile Zile jina@jamiiforums.com
Tuufurahie Ufalme Wako Mzee Najua Hutotwacha Hii Ndio Jf Fundisha Rekebisha!!!1


  1. Hivi kwenye watu wote anaowajua Mtikila hakupata wa kumkopesha 3.0 million??
  2. Why Rostam?? Why 3.0 million not 500,000 or 100 million?
  3. Zilikuwa ni za nini na wakati yeye anapata ruzuku??
Huu sidhani kabisa kama ulikuwa ni mkopo.
 
Kwenye hili sakata kuna mapungufu pande zote mbili:

Kwa upande wa Mtikila:
Mtikila anasema kwamba alikopa fedha kabla mambo ya RA hayajawa wazi zaidi kuhusu tuhuma za ufisadi na mkopo ilikuwa urudishwe ndani ya miezi miwili. Je, alikopa lini?

Kama mkopo ni wa miezi 2, na alikopa kabla ya April (RA alipowekwa on the spot), kwanini Mtikila hajalipa deni mpaka leo hii?

Kauli ya kusema alikopa kabla mambo ya RA hayajawa wazi inaweza kuwa na walakini mkubwa sana na ndipo wengine wanakosa imani na Mtikila kwamba labda alikuwa na agenda ya siri.

Kwa upande wa RA:
Je, ni transactions zote huwa zina kumbukumbu kama aliyoionyesha kwa waandishi wa habari jana pale hotelini? Ina maana hata huo mchango wa Kwaya ya Kinondoni nao uko kwenye records? Ni wangapi ambao amewapa hela kimya kimya?

Bottom line
There is something fishy between RA and Mtikila, na information tunazozipata ni nusu nusu kwa kuwa wote wanaogopa kulipuana maana wakizama kwenye undani wa hilo swala wote wataumbuka. Wacha tuone sarakasi zao na usanii unaoendelea huku kila mmoja wao akijaribu kutetea jina na hadhi yake mbele ya jamii.

RA anasema alitoa mchango kwa Kanisa, lakini ajabu ni kwamba alimsainisha jamaa huo mchango kuonyesha kwamba alipokea. Je, tangu lini michango huwa wanaopokea wanasainishana? Mtikila anasema ni mkopo usiokuwa na dhamana/poni, lazima kuwe na mashahidi ili mkopaji aki-default basi mashahidi waweze kwenda ku-tesify mahakamani.

Hili sakata lina maswali mengi sana. Wote 2 ni watoto wa mjini wamekutana, kila mtu ni mjanja. Aliyeuza cheni ya gold ilikuwa fake na aliyeuziwa cheni alilipa kwa hela fake ..... matokeo ni NGOMA DROO! Na ndiyo maana tunaishia kubaki na maswali mengi kuliko majibu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom