Mtikila anena: Kumfikisha Rostam kwenye vyombo vya sheria. Rostam aligushi stakabadhi. Mtikila anazo stakabashi halisi. There is no mention of a church. Nilikopa deni binafsi kwake, sio kanisa. Asitake kuficha aibu ya kugushi, kusingizia milioni tatu. Nitamlipa. Alinikopa mimi. Sio kanisa, na kanisa lenyewe lipi hilo (inaonyeshwa stakabadhi, yaani, ni kama Mtikila anavyosema... contribution to a church! .. which church?)
1. Bunge lipitishe muswaada wa kuwachunguza hawa viongozi wawili, yaani Mbunge Rostam na kiongozi wa upinzani Mtikila, kuhusiana na kupeana kwao hizi hela, halafu pia sheria iangaliwe kama kuna sheria za TRA zimevunjwa hapa, kwa sababu je hela hizi zimelipiwa kodi kama sheria inavyosema?
2. Rostam sio benki au taasisi ya kukopa na kurudisha, huyu ni kiongozi wa taifa, tena rafiki wa karibu sana wa Rais wa Jamhuri yetu, sasa kweli badala ya kuwahimiza wananchi kwenda kukopa na kurudisha benki ili kuendeleza uchumi wa taifa letu, yeye anatoa hela kinyemela na kudai ni mkopo? Hivi kuna wananchi wangapi wa hali ya chini huyu Rostam amewahi kuwakopesha? Hiii ni rushwa hii kama nilivyosema majuzi kuwa CCM ina baadhi ya viongozi hufanya uhuni wao wenyewe na kujaribu kutafuta credit kwa mwenyekiti wa CCM, this is one of the things na viongozi niliokuwa ninasema.
3. Mtikila sasa anyamaze maana ukiweli uko wazi sasa kuwa na yeye ni fisadi tu kama Rostam, yaani unatukanaje hela ambazo na wewe pia umewahi kupewa na fisadi! This is a shame hata hao waandishi wa habari wangemfukuzilia mbali, huyu ni fisadi tu hana lolote, na ndio tabia yake hii, hata kule US aliwahi kukoipeshwa na mama mmoja dola karibu $ 1000 mpaka leo hajalipa wala kumpigia yule mama simu, huiyu ni fisadi ni afadhali anyamaze, ndio maana huyu fisadi anakuwa jeuri huyu!
Hakuna cha kughushi wala nini Mtikila nyamaza tu ukubali yaishe, huyu ni mnafiki na mfisadi, tena ni mtu hatari sana huyu Mtikila, baada ya kuongea huuu utumba ndio kabisaa ni fisadi huyu,
sasa Rostam aombwe ili aseme ni viongozi gani amewahi kuwakopesha, ili muone aibu itakayotokea!
Mtikila sasa basi baba kumbe na wewe ni wale wale tu, sasa kaaa pembeni na hii vita vya mafisadi huviwezi! na usilete vitisho mbuzi hiyvo na wewe ni fisadi tu!