Naamini hata waandishi wa habari waliofanya coverage siku ile waliitwa na Rostam mwenyewe,kwasababu kila kilichofanyika siku ile kilikuwa katika mkakati wa kutafuta jukwaa zuri lenye sura nzuri ambalo lingefaa kumnawisha mikono Mh.RA. Maramoja janja ikagundulika Maaskofu rightly so wakafanya hayo waliyoyafanya.
Nilishtushwa sana na yaliyotokea kanisani siku ile kwasababu ni kitendo ambacho sikukitegemea kama kingefanywa na kanisa kwa watu wa aina ile.
Mchungaji wa Kinondoni kama hakufuata taratibu za kanisa katika kutoa mialiko ya aina hii anastahili adhabu kali lakini nafikiri si sahihi kurudisha pesa ya RA kwasababu yoyote ile.