kama kweli wametoa tamko,basi wamekosea sana,kanisa halikuwa na haja ya kutoa tamko lolote lile,na kitendo cha kumsimamisha mchungaji ni cha kukemewa kabisa,sijaona kosa lolote mpaka sasa,RA amekuwa akialikwa na kanisa hilo na kutoa michango bila matatizo.
Hapa ni sawa na kusema kunywa pombe ni halali ila kula nguruwe ni dhambi.kama ni ufisadi RA haja shitakiwa popote ktk jamuhuri ya tanzani kuhusiana na hizo tuhuma,Malasusa angalia usije ingia mtegoni,soma alama za nyakati
Nyoka ni nyoka tu, hata akija kanisani hawezi kubadilika akawa kinyonga, hawa wahuni wafukuzeni huko kanisani! Na nyinyi vibaraka wao msitubabaishe hapa na maneno mengi ya ujanja ujanja tunawajua tenma vizuri sana pamoja na majina yenu ya bandia hapa tunaweza kuwasema hapa wazi wapuuuzi nyie!
Mhhh!! Hapo ni kama wememhukumu mtu wakati sio kazi ya kanisa kufanya hivyo. Unless kama hawakutamka hivyo, otherwise hilo tamko lina walaakini.
Ni kweli revange is God's, lakini Mungu pia hataki unafiki. unafiki ni kitu kibaya sana. kwanini hakwenda msikitini?ndo akatolee machungu yake kanisani? angekuwa ameenda pale kusali, sawa, lakini hakwenda pale kusali bali kujisafisha. sidhani kama kanisani ni mahali pa kujisafishia, ni mahali pa kusalia. halafu, unajua sisi watz sio watu wajinga, hata kama hatuna ushahidi wa kutosha juu ya suala lake, tunaujua ukweli wake, tunashindwa tu pa kumkamatia, ukweli upo mioyoni mwetu, hivyo hatuwezi kuvumilia unafiki kisa tu kwamba hatuja prove kwamba yeye ni fisadi. tunaelewa kila kinachoendelea, ila tunashindwa tu kuthibitisha kwasababu ushahidi wameshaukata mirija, au kuupata kuna mlolongo. ila we know what is going on in our country, tunawajua mafisadi ni akina nani na wasio mafisadi ni kina nani.
mbona hawagusi waislam? kwasababu wangempa ukweli wake palepale, na wasingemkaribisha fisadi. akaona ngoja nikimbilie kwa wakristo wajingawajinga ambao naweza kuwapiga mchanga wa macho tu.....hahaha. kazi kwelikweli.
Na nyinyi vibaraka wao msitubabaishe hapa na maneno mengi ya ujanja ujanja tunawajua tenma vizuri sana pamoja na majina yenu ya bandia hapa tunaweza kuwasema hapa wazi wapuuuzi nyie!