Inshort zama zimebadilika...
 
Sahihi na ikitokea upo nyumban unakaanga mayai mawili umemaliza, japo kwa upande wangu hua natafuta siku moja ya kualika watu wachache tufuturu pamoja ili kupata fadhila za kufuturisha
 
Mmekua wachoyo mno siku hizi..zamani daah tulifaidi aiseee....uji..mara chapati kdg tambi...
Yani siku hzi mnajifungia manyumbani kwenu sio tena vibarazani...
Aaaaaghhhh
Maisha ya sasa yanafosi watu waishi hivyo. Vitu gharama zipo juu hivyo chakula kinachopatikana hakitoshelezi
 
Wa anhu swallallahu alayhi wasallama annahu qaal: af-dhwalu maa qultuhu anaa wan nabiyyuna min qablii, fa-a-lam annahu "Laa ilaha Illa llah"

Amesema Mtume Muhammad s.a.w ya kuwa: Bora zaidi ya niliyosema mimi na Manabii waliyokuwa kabla yangu ni: Laa ilaha illa llah.

Na akasema Mtume Muhammad s.a.w: Unapofanya ovu basi fatilisha na jema kwani hakika ya jema hufuta ovu. Akaulizwa; Yaa rasuula llah, aminal hasanaati laa ilaha illah llah? (Ni katika jema (hii dhikr ya Laa ilaha Illa llah).

Akasema kwa kujibu Mtume Muhammad s.a.w: Hiya af-dhwalul hasanaat. Hiyo ni bora zaidi.

Kwa msingi huo wakasema wanawazuoni; "Laa ilaha illa llah, nalo ni miongoni mwa mambo makubwa yaliyo bora zaidi ambayo yanafuta maovu.

Na akasema Mtume Mtume Muhammad s.a.w wasallam: Af-dhwalu dhikr; Laa ilaha illa llah ....(mpaka mwisho wa hadithi)

Qaala Musa swalallahu alayhi wasalllam: Yaa Rabbi, allimnii shay an adhkuruka wa ad-uka bihi.

Nabii Musa alayhi ssalaam alimwomba Allah kuhusu dhikr maalumu zaidi, ambayo atakayo mdhukuru na kumuomba.

Qala llahu taala (Allah akamjibu kumwambia): Qul Laa ilaha illa llah.
Sema: Laa ilaha illa llah

Qala (akasema Nabii Musa): Kullu ibaadika yaquuluna hadha.
(Yaa Rabbi, kila mja wako analitamka hilo.
---------------
Itaendelea inshaallah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…