Status
Not open for further replies.
Pumzika kwa kwa amani Rais wangu. Matendo yako yatafutana nawe sawa na wema na huruma za Mungu. Misingi ya nchi imetikiswa sana na wengine hasa wale waliokuwa wanakusifu sana, walianza kuiba hata kabla hujaka roho. Mungu atupiganie kama taifa. Daima tutakukumbuka.
 
Inna lillah wainna ilaihyi rajiun.

Mwenyezi Mungu amuhifadhi mahali stahiki.

Karibu mama Samia Suluhu Hassan ushike mahali pake
 
Comrade kaacha alama miaka mitano ya nguvu ,uthubutu ,mabadiliko ikibidi mafisadi na mabeberu kuumia .rest easy Ngosha Tanzania itakukumbuka
 
Pumzika kwa amani Rais wangu,

Ipo siku wa Tanzania watakukumbuka na watalia Sana wakiwaza uzalendo na dhamira yako njema uliyokua nayo kwao.
Dunia itakukumbuka.

Afrika itakukumbuka sana. Umeondoka ukiwa umeacha miradi mingi yenye tija kwa Taifa ikiwa inaendelea kujengwa,umeacha nidhamu makazini ikiwa imeaimarika

Rest in peace mwamba.
Ipo siku tutaonana mbinguni kwa Mungu Baba.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom