Rais Samia Yuko wapi

Ameenda!! (In Kenyan voice)
 

Binafsi nikishaona wasaidizi wake wanachapa kazi, hata nisipo mwona hewani najua yupo anafuatilia na akiona Gap ataingia hewani....au si ndivyo wanafundisha wale wa Business management & Admin
 
Achana naye huyo brother, hawezi kukuletea chakula MEZANI..endelea na mambo Yako hii nchi kuwa mvumilivu pambana usije kosa chakula Cha kupelekea familia..Hawa wengine hata wakifa au wakiendelea kuwa hai hawatakusaidia kukuletea chakula MEZANI😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…