Rais Samia Yuko wapi

Rais Samia Yuko wapi

Leo tarehe 19/10/2026 alitakiwa alitakiwa kuonekana kwenye uzinduzi sehemu fulani na hajatokea.

Watanzania tunayo haki ya kikatiba kufahamu rais Yuko wapi kwa sababu urais sio wa CCM Wala wa familia yake ni wa nchi na wa wananchi wote.

Ikulu itoe statement iseme rais Yuko wapi.

Binafsi nikishaona wasaidizi wake wanachapa kazi, hata nisipo mwona hewani najua yupo anafuatilia na akiona Gap ataingia hewani....au si ndivyo wanafundisha wale wa Business management & Admin
 
Achana naye huyo brother, hawezi kukuletea chakula MEZANI..endelea na mambo Yako hii nchi kuwa mvumilivu pambana usije kosa chakula Cha kupelekea familia..Hawa wengine hata wakifa au wakiendelea kuwa hai hawatakusaidia kukuletea chakula MEZANI😎
 
Back
Top Bottom