Ado Shaibu: Yuko wapi aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi?

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,290
Reaction score
15,748
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, ametoa wito kwa familia ya Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Emmanuel Nchimbi kujitokeza hadharani na kuwahahakishia Watanzania kuwa yuko salama.

Ado ametoa wito huo Septemba 10, 2026 wakati akizungumza katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika Kata ya Bugogwa, Mtaa wa Igomba huko Ilemela, Mwanza.
 
kwani alikua wapi?🐒
 
Nchimbi amewekwa kizuizini na inasemekana amewekwa kwenye ile nyumba aliyowekwa hayati Abdul Jumbe kule Kigamboni na atakuwa humo kizuizini maisha yake yote.
 
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, ametoa wito kwa familia ya Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Emmanuel Nchimbi kujitokeza hadharani na kuwahahakishia Watanzania kuwa yuko salama.

Ado ametoa wito huo Septemba 10, 2026 wakati akizungumza katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika Kata ya Bugogwa, Mtaa wa Igomba huko Ilemela, Mwanza.
Masuala ya Nchimbi yatakusaidia nini mkuu?? Siasa za kijinga kabisa hizi. Masuala ya CCM waachie wenyewe, wewe waambie wananchi utawasaidia vp katika kuzitatua kero zao.
 
Masuala ya Nchimbi yatakusaidia nini mkuu?? Siasa za kijinga kabisa hizi. Masuala ya CCM waachie wenyewe, wewe waambie wananchi utawasaidia vp katika kuzitatua kero zao.ni Bora
Ni Bora hata usingetoa maoni...kwani hujui km mwanchi una haki ya kuhoji alipo Makamu wa Raisi....haya na wewe ukipotea watu wakae Kimya bila ya kuhoji ulipo...sindiiyo...?
 
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, ametoa wito kwa familia ya Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Emmanuel Nchimbi kujitokeza hadharani na kuwahahakishia Watanzania kuwa yuko salama.

Ado ametoa wito huo Septemba 10, 2026 wakati akizungumza katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika Kata ya Bugogwa, Mtaa wa Igomba huko Ilemela, Mwanza.
Inasiktisha sana.

#Free Balozi Dr Nchimbi.
 
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, ametoa wito kwa familia ya Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Emmanuel Nchimbi kujitokeza hadharani na kuwahahakishia Watanzania kuwa yuko salama.

Ado ametoa wito huo Septemba 10, 2026 wakati akizungumza katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika Kata ya Bugogwa, Mtaa wa Igomba huko Ilemela, Mwanza.
mkutano upi tena katambi si alisha sema hakuna mikutano ya kisiasa tejenge nchi kwanza
 
Back
Top Bottom