Rais Samia Yuko wapi

Rais Samia Yuko wapi

Leo tarehe 19/10/2026 alitakiwa alitakiwa kuonekana kwenye uzinduzi sehemu fulani na hajatokea.

Watanzania tunayo haki ya kikatiba kufahamu rais Yuko wapi kwa sababu urais sio wa CCM Wala wa familia yake ni wa nchi na wa wananchi wote.

Ikulu itoe statement iseme rais Yuko wapi.
Wa nini?
 
Kawaulize waislam EDA ni siku ngapi. Ila tumepata AIBU Rais wa nchi mswahili. Ni aibu kuwa na eti Rais wa aina ya Samia, aibu!
 
Leo tarehe 19/10/2026 alitakiwa alitakiwa kuonekana kwenye uzinduzi sehemu fulani na hajatokea.

Watanzania tunayo haki ya kikatiba kufahamu rais Yuko wapi kwa sababu urais sio wa CCM Wala wa familia yake ni wa nchi na wa wananchi wote.

Ikulu itoe statement iseme rais Yuko wapi.
Shida ya hii Nchi ni mfumo sio mtu.
 
Kama mambo yako hivyo, muhimu kupata likizo ya daima.

Yule bonge ameenda na mambo mengi sana. Ameacha misiba mikubwa. Na wale wengine walioko Marekani. Ningependa kuona hawa watu wanaouza silaha bila utaratibu wanaishia wote.

Bara letu likae kwa amani
ila kiukweli huu msiba wa bonge inaonekana umeacha kilio kikubwa kwa baadhi ya viongozi wa Africa sema ndio hivyo wanalia kimyakimya sababu ilikuwa black market
 
Back
Top Bottom