Rais Samia Yuko wapi

Rais Samia Yuko wapi

Leo tarehe 19/10/2026 alitakiwa alitakiwa kuonekana kwenye uzinduzi sehemu fulani na hajatokea.

Watanzania tunayo haki ya kikatiba kufahamu rais Yuko wapi kwa sababu urais sio wa CCM Wala wa familia yake ni wa nchi na wa wananchi wote.

Ikulu itoe statement iseme rais Yuko wapi.
Labda amekufa mkuu.
 
Labda ameenda likizo ndefu na familia. Baada ya msiba wa Mzee wetu. RIEP Mzee
 
Hiyo misiba miwili ni mizito kwake ukizingatia pia reactions za watanganyika.

Lakini kifo cha pili, kama kuna mkono wa mtu, lazima limuathiri sana kwasababu maslahi yake makubwa yameguswa na anaweza kuhisi yupo kwenye mashambulizi.

Na kama kuna taarifa za ki intelijensia kuhusiana na usalama wake, kumfanya asiweze kwenda popote anapotaka kwa uhuru, lazima limuathiri tena zaidi.

Hiyo likizo ikiwa ya muda gani ndo itamsaidia na huku bado hawaoni ukubwa wa tatizo?
 
Kama mambo yako hivyo, muhimu kupata likizo ya daima.

Yule bonge ameenda na mambo mengi sana. Ameacha misiba mikubwa. Na wale wengine walioko Marekani. Ningependa kuona hawa watu wanaouza silaha bila utaratibu wanaishia wote.

Bara letu likae kwa amani
 
Leo tarehe 19/10/2026 alitakiwa alitakiwa kuonekana kwenye uzinduzi sehemu fulani na hajatokea.

Watanzania tunayo haki ya kikatiba kufahamu rais Yuko wapi kwa sababu urais sio wa CCM Wala wa familia yake ni wa nchi na wa wananchi wote.

Ikulu itoe statement iseme rais Yuko wapi.
Yupo Ndejembi wa Kipemba anakaimu/atakaimu, wanasema rais si mtu bali ni taasisi hivyo hata kama speculations ziko sahihi usiwe na hofu kwani huyo dogo wa Kipemba Ndejembi ataendeleza kulisukuma kuanzia pale bibi yake bi Kizimkazi alipoishia.
 
Hiyo misiba miwili ni mizito kwake ukizingatia pia reactions za watanganyika.

Lakini kifo cha pili, kama kuna mkono wa mtu, lazima limuathiri sana kwasababu maslahi yake makubwa yameguswa na anaweza kuhisi yupo kwenye mashambulizi.

Na kama kuna taarifa za
ki intelijensia kuhusiana na usalama wake, kumfanya asiweze kwenda popote anapotaka kwa uhuru, lazima limuathiri tena zaidi.

Hiyo likizo ikiwa ya muda gani ndo itamsaidia na huku bado hawaoni ukubwa wa tatizo?
Huu msiba wa pili umemuathiri sana kwani bonge kapotea na mumala mzito sana in terms of Tees.
 
Leo tarehe 19/10/2026 alitakiwa alitakiwa kuonekana kwenye uzinduzi sehemu fulani na hajatokea.

Watanzania tunayo haki ya kikatiba kufahamu rais Yuko wapi kwa sababu urais sio wa CCM Wala wa familia yake ni wa nchi na wa wananchi wote.

Ikulu itoe statement iseme rais Yuko wapi.
No body care nowadays
 
Makazi Ya Rais ni Ikulu hawezi kukaa guest kama mama yako mzazi. So Rais yuko Ikulu Dar
Mbona majibu yako ya jazba yanafanana sana na majibu ya Majaliwa alipoulizwa kuhusu alipo Magufuli kukiwa na tetesi za kifo chake?

Unakumbuka jibu hilo lilivyomtia doa Majaliwa kwa Waziri mkuu kusema uongo?

Kwa nini hampendi kujifunza kutokana na makosa ya wengine?

Itifaki inakutaka wewe utoe majibu kama uliyoyatoa yanayohusu ofisi ya Rais na Rais mwenyewe?
 
Leo tarehe 19/10/2026 alitakiwa alitakiwa kuonekana kwenye uzinduzi sehemu fulani na hajatokea.

Watanzania tunayo haki ya kikatiba kufahamu rais Yuko wapi kwa sababu urais sio wa CCM Wala wa familia yake ni wa nchi na wa wananchi wote.

Ikulu itoe statement iseme rais Yuko wapi.
Kwani ameshamaliza Edda?
Si yupo Edda kutokana na msiba wa Mumewe
 
Back
Top Bottom