Nchimbi yuko wapi? Serikali na CCM tunataka majibu

Vyamavingi

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Posts
6,047
Reaction score
5,934
Wiki chache zilizopita tulitangaziwa kuwa aliyekuwa makamu wa Rais, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amejiuzulu nafasi hiyo. Siku chache baadaye CCM wakatutangazia kuwa wamemfukuza Nchimbi uanachama wa chama chao! Ajabu ni kuwa CCM katika taarifa yao kwa wanahabari hawakutoa fursa ya maswali.

Tangu tukio hilo kutokea Watanzania hawajapata fursa ya kumsikia wala kumuona Nchimbi mwenyewe hadharani; haijukikani kama yuko kizuizini, amekufa au yuko hai; waliojaribu kumtafuta kama alivyofanya mzee Warioba wanadai hata kwenye simu hapatikani!

Makamu wa Rais ni cheo kikubwa sana nchini, haiwezekani kutoweka bila wananchi kujua yuko wapi, huu ni uhalifu kwa taifa. Haifikiriki mtu kama Nchimbi kutoweka na kunyamazishwa kimyakimya bila serikali na au vyombo vya dola kutuambia yuko wapi.
Kuna tetesi kuwa Nchimbi hajajiuzulu; hii inaweza kuwa kweli kwa sababu yeye mwenyewe hajasikika wala kuonekana hadharani kulizungumzia suala hili. Ajabu kuu hakuna mamlaka wala taasisi yoyote imejitokeza kuhoji uhalali wa kuondolewa kwenye nafasi yake au hata mustakabali wa uhai wake; haijulikani kama yuko hai ama amekufa, kama ni mgonjwa au yuko kizuizini.

Mwaka 1984, wakati wa mfumo wa Chama kimoja, Aboud Jumbe aliyekuwa Makamu wa Rais JMT na rais wa Zanzibar alivuliwa umakamu wa raus wa JMT, urais wa Zanzibar na kuwekwa kwenye kizuizi cha nyumbani hadi mauti yalipomkuta miaka ya 2000; angalau ilijulikana yuko wapi. Mwaka 2015, aliyekuwa waziri mkuu Edward Lowasa, alijiuzulu na kuihama CCM, hatukuona kitu kama hiki maana aliendelea na harakati za kisiasa kama kawaida; sasa hili la Nchimbi mbona limekaa hivi? Watanzania wana haki ya kujua, kiongozi wao yuko wapi? Yuko hai? Yuko kizuizini? Yu mgonjwa?

Vv
 
Kuna tetesi kuwa Nchimbi hajajiuzulu; hii inaweza kuwa kweli kwa sababu yeye mwenyewe hajasikika wala kuonekana hadharani kulizungumzia suala hili.
Ajabu kuu hakuna mamlaka wala taasisi yoyote imejitokeza kuhoji uhalali wa kuondolewa kwenye nafasi yake au hata mustakabali wa uhai wake; haijulikani kama yuko hai ama amekufa, kama ni mgonjwa au yuko kizuizini.
Mwaka 1984, wakati wa mfumo wa Chama kimoja, Aboud Jumbe aliyekuwa Makamu wa Rais JMT na rais wa Zanzibar alivuliwa umakamu wa raus wa JMT, urais wa Zanzibar na kuwekwa kwenye kizuizi cha nyumbani hadi mauti yalipomkuta miaka ya 2000; angalau ilijulikana yuko wapi.
Mwaka 2015, aliyekuwa waziri mkuu Edward Lowasa, alijiuzulu na kuihama CCM, hatukuona kitu kama hiki maana aliendelea na harakati za kisiasa kama kawaida; sasa hili la Nchimbi mbona limekaa hivi? Watanzania wana haki ya kujua, kiongozi wao yuko wapi? Yuko hai? Yuko kizuizini? Yu mgonjwa?

Vv
kwani alikua wapi kabla gentleman 🐒
 
Umeenda nyumbani kwake umemkosa?
Kwani unadhani mtu akiacha kazi huwa anaenda wapi?
..si lazima nyumbn, yeye ni mkatoliki, haonekani kwenye jumuiya yake, haonekani kanisani..jana kulikuwa na kusimikwa kwa Askofu Vicent msimbazi hakuonekana wakati alialikwa, yuko wapi..? si lazima familia yake waulize, umma unaomtunza kwa kodi zao una haki ya kuuliza!
 
Uongozi huu wa CCM ni sawa kabisa na hayawani wa mwituni, wana njaa na kiu ya madaraka na hawasiti hata kidogo kumrarua mwenzao akiwa mzima mzima ili tu kulinda matumbo yao na kuzidi kurithishana utawala WA nchi kwa kikundi kidogo cha mafisadi.

Jinsi walivyokuwa na historia chafu ya kufuja mali za umma kwa ulafi mkubwa, hawako tayari kumuachia nchi mtu msafi ambaye wanatambua atakuja kuwageuka mbele ya safari. Somo zuri sana walilipata kwa Magufuli.

Kutokana na "fear of unknown" endapo uongozi wa mtu safi anayeamini katika siasa safi, wanatambua hatma yao, na mali zao itakuwa matatani.
 
Wiki chache zilizopita tulitangaziwa kuwa aliyekuwa makamu wa Rais, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amejiuzulu nafasi hiyo. Siku chache baadaye CCM wakatutangazia kuwa wamemfukuza Nchimbi uanachama wa chama chao! Ajabu ni kuwa CCM katika taarifa yao kwa wanahabari hawakutoa fursa ya maswali.

Tangu tukio hilo kutokea Watanzania hawajapata fursa ya kumsikia wala kumuona Nchimbi mwenyewe hadharani; haijukikani kama yuko kizuizini, amekufa au yuko hai; waliojaribu kumtafuta kama alivyofanya mzee Warioba wanadai hata kwenye simu hapatikani!

Makamu wa Rais ni cheo kikubwa sana nchini, haiwezekani kutoweka bila wananchi kujua yuko wapi, huu ni uhalifu kwa taifa. Haifikiriki mtu kama Nchimbi kutoweka na kunyamazishwa kimyakimya bila serikali na au vyombo vya dola kutuambia yuko wapi.
Kuna tetesi kuwa Nchimbi hajajiuzulu; hii inaweza kuwa kweli kwa sababu yeye mwenyewe hajasikika wala kuonekana hadharani kulizungumzia suala hili. Ajabu kuu hakuna mamlaka wala taasisi yoyote imejitokeza kuhoji uhalali wa kuondolewa kwenye nafasi yake au hata mustakabali wa uhai wake; haijulikani kama yuko hai ama amekufa, kama ni mgonjwa au yuko kizuizini.

Mwaka 1984, wakati wa mfumo wa Chama kimoja, Aboud Jumbe aliyekuwa Makamu wa Rais JMT na rais wa Zanzibar alivuliwa umakamu wa raus wa JMT, urais wa Zanzibar na kuwekwa kwenye kizuizi cha nyumbani hadi mauti yalipomkuta miaka ya 2000; angalau ilijulikana yuko wapi. Mwaka 2015, aliyekuwa waziri mkuu Edward Lowasa, alijiuzulu na kuihama CCM, hatukuona kitu kama hiki maana aliendelea na harakati za kisiasa kama kawaida; sasa hili la Nchimbi mbona limekaa hivi? Watanzania wana haki ya kujua, kiongozi wao yuko wapi? Yuko hai? Yuko kizuizini? Yu mgonjwa?

Vv
Anastarehe na mkewe huko wewe huku unapata taabu kutaka kuingilia faragha za watu
 
Hivi kwani Nchimbi hana familia au marafiki wa kufika kwake na kumuulizia badala ya kupiga simu. Yaani hakuna anayepajua kwake!
 
Back
Top Bottom