SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 7,349
- 6,978
Inapofikia sehemu unaondoa na kufupisha mchakato wa Utumishi wa Umma kukuletea makabrasha, unategemea nini?Rais Samia amesema taarifa za mambo yanayofanywa na watendaji ziwe zinaandikwa na kutumwa ili aweze kuelewa vyema wakati wa kutoa maamuzi na kuondoa changamoto ya kuondoa watu wanaostahili kuwepo kwenye sehemu husika
Hivi kweli tuamini hukuwa unajua hayo? halafu kuna watu wanaleta vitu kama hivi hapa Jukwaani kudhihaki👇
Unafikiri katika hayo makabrasha angekosa Harage bovu?
Madam President, sijawahi kuku address, Get a Grip!