Maadam humu huwa anaingia mwenyewe, basi hili, ataliona mwenyewe, kwa kukusaidia tuu, kuasili kunafanywa kwa watoto wadogo tuu, minors under the age of the majority!.Mhimize "akuasil"i haraka, maana siku zake zinahesabika huy!
yao huyu n hamnazo kabsaaNawe hapa unamsemea nani?
Ina maana hazikutoshi kiasi hiki?
HII SAS LEO IMESOMA VIZURI 😀😀😀😀Kwahiyo huyu m1 ana thamani kuliko watu maelfu walio angamizwa tar 29/10?
Km huyu aliokotwa huko alikotupwa, basi na wale waliokufa 29/10 watupwe ili ndugu na wahusika wao wawaokote pia wakawahifadhi kadri ya taratibu zao.
Mwana habari na huna habari za kweli juu ya hii sanaahajuti, ndio kwanza anafurahi,alimtupa kwasababu ilitunga kwa ajali, akashindwa kuicholopoa,alipozaa mtoto, akamtelekeza kwasababu hawezi kumlea, hivyo sasa anafurahi na kumshukuru Mungu,mwanae,atalelewa vizuri,na huko mbeleni atakuwa kama Wanu na Dully, ndipo mama mtu ataibuka!
P
Mwana habari na huna habari za kweli juu ya hii sanaahajuti, ndio kwanza anafurahi,alimtupa kwasababu ilitunga kwa ajali, akashindwa kuicholopoa,alipozaa mtoto, akamtelekeza kwasababu hawezi kumlea, hivyo sasa anafurahi na kumshukuru Mungu,mwanae,atalelewa vizuri,na huko mbeleni atakuwa kama Wanu na Dully, ndipo mama mtu ataibuka!
P
Kuna uvumi huyo kichanga katoka Zenji...washkaji Nzega watujuza hakukuwa na tukio la kuokotwa ntoto pahala.Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma.
Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Naitapwaki Tukai.
Akizungumza wakati wa kumkabidhi mtoto huyo, Mkuu wa Wilaya Tukai alisema mtoto huyo aliokotwa Januari 17, 2026 akiwa ametelekezwa katika eneo jirani na nyumba ya wageni ya Kasulu, Nzega Mjini.
Alieleza kuwa baada ya kupokea taarifa hizo, alishirikiana na Jeshi la Polisi kumchukua mtoto huyo na kumpeleka hospitalini kwa uchunguzi na uangalizi, huku juhudi za kumtafuta mama yake zikiendelea bila mafanikio.
Rais Samia amemkaribisha mtoto huyo katika familia yake na kuahidi kumpatia malezi, ulinzi na huduma zote muhimu ili akue katika mazingira salama na yenye upendo.
“Wanaotupa watoto hawajui wanalolifanya. Kuliko kumtupa mtoto ni afadhali ukamkabidhi katika mamlaka za kisheria au kituo cha kulelea watoto. Kila mtoto aliyezaliwa ni hazina, na hatuijui kesho yake,” alisema Rais Dkt. Samia.
Source: Ikulu
Habari inayoenea kutoka kwenye vyanzo, inasema hiyo ni fake......Mtoto huyo anatoka kwenye familia yake. Hata hivyo kama ni tofauti na hivyo, hicho kichanga baba yake aliuawa kwenye mauaji aliyotekeleza Samia. Aturudishie aliowaua ili tuwazike kama vile taratibu zinavyotaka. Hizo maiti ameziiba baada ya kuwaua, siyo mali yake. MUUAJI SAMIA anachofanya ni maigizo ya kipumbavu yasiyo na maana.hajuti, ndio kwanza anafurahi,alimtupa kwasababu ilitunga kwa ajali, akashindwa kuicholopoa,alipozaa mtoto, akamtelekeza kwasababu hawezi kumlea, hivyo sasa anafurahi na kumshukuru Mungu,mwanae,atalelewa vizuri,na huko mbeleni atakuwa kama Wanu na Dully, ndipo mama mtu ataibuka!
P
Paskali huwa anadanganyika mapema mno.......Itabidi ajifunze investigation journalism. Huyo mtoto aliokotwa na nani........ajue pia, watu wa Samia wanaweza kumuweka hapo halafu wakajifanya wameokota dhahabu. Waongo hao wote....Hilo li-SAMIA linajikomba komba, ili aonekane mzuri. Je kuna ulazima gani wa kuandika kwenye kurasa za mbele za magazeti, mara kampa mama Kanumba gari etc.......Hayo yote yana umuhimu gani? Asinunue haki yetu kwa umaskini wa watanzania hasa watanganyika hilo liuaji, muongo na mwenye madharau.Mwana habari na huna habari za kweli juu ya hii sanaa
Hao wengine wachukueni na nyinyi raia...mkuu nenda kituo cha watoto yatima omba mtoto unaetaka kumuadapti,watakupa! Ila shauriana kwanza na mumeo.Watanzania kwa hili mama tumsifu lakini kwanini afanye kwa mmoja na wangapi wanatelekezwa ? Yeye kama Rais ana mpango gani na watoto kama huyo Grace Samia ?
Hivi wewe taahira mbona ni mrahisi sana kudanganyika, mwambie boyfriend wako akusaidie kufikiri fala wewe hawara ya Abdul Hafidh Ameir.Hao wengine wachukueni na nyinyi raia...mkuu nenda kituo cha watoto yatima omba mtoto unaetaka kumuadapti,watakupa! Ila shauriana kwanza na mumeo.
Huyo bichwa pasi hajui nafasi yake. Kama ana nia njema angeandaa mazingira mazuri kwa ajili ya watoto wote. Na si huyo mmoja wa kupiga naye picha!Jema wapi wewe mzee?
Yaani baada ya kuuwa watu kwa makumi elfu, kuzuga tu kuwa kaasili katoto mmemsamehe!!!
Watanzania tupimwe akili!
Mmesahau mara hii mauaji ya halaiki! Kina Polepole, Mdude, kesi ya kishetani ya Lissu, Mdude, mtoto aliyechoma picha yake kuuliwa kinyama!! Jiupusheni na laana juu ya nchi yetu
Hili halitomsaidia chochote hadi atubu na kurejesha miili ya wapendwa wetu aliowaua MO29!Huyu sasa ndie yule Samia, tuliyemzungumzia hapa, Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” ambaye ni tofauti na yule aliyesema ile nguvu iliyotumika ilikuwa nguvu stahiki!.
Kitendo hiki alichokifanya, Rais Samia, cha kumuasili huyu mtoto, malaika wa Mungu, kitamrudishia thawabu saba mara sabini, na kuipunguza adhabu yake ya karma ya October 29 kwa kiasi kikubwa!. The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!, humo nilisema,
Hili Rais Samia alilofanya ni jema,
Mungu ambariki sana Rais Samia.
Juu Sana Kipa Wala Beki Hafikii MpiraUmekabia juu sana
Pascal, ingekuwa kupata thawabu saba mara sabini, na kupungziwa adhabu ni rahisi namna hiyo basi hata shetani ibilisi angekuwa ameshasamehewa na Mungu siku nyingi sana!Huyu sasa ndie yule Samia, tuliyemzungumzia hapa, Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” ambaye ni tofauti na yule aliyesema ile nguvu iliyotumika ilikuwa nguvu stahiki!.
Kitendo hiki alichokifanya, Rais Samia, cha kumuasili huyu mtoto, malaika wa Mungu, kitamrudishia thawabu saba mara sabini, na kuipunguza adhabu yake ya karma ya October 29 kwa kiasi kikubwa!. The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!, humo nilisema,
Hili Rais Samia alilofanya ni jema,
Mungu ambariki sana Rais Samia.