Sema hivi sio kumtafutia sababu,sababu zipo tena zakutosha Sana.Bwana mdogo Sabaya Hakujifunza kwa pacha mwenzake Paul Makonda Baada ya kutumbuliwa kwake namna gani jamii ilimpokea.
Nilishangaa sana Juzi alipokuwa akihojiwa kwenye tawi la ccm ( clouds media) alikuwa anaongea mpaka anawapindukia watangazaji kama yuko sitting room alitamba zaid kiasi cha kum stopisha Kija kuwa asiwe na haraka yaani alikuwa na confidence ya hovyo sana.
Na ili nililitegemea maana malalamiko yalikuwa mengi mno juu yake.
Swala la kupisha uchunguzi dhidi yake ni kumtafutia sababu ya kumbananisha kwenye kona.
Mungu ni mwema siku zote.