Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Hivi hamjui kujifunza na kusoma alama za nyakati? Hamuoni kuwa kila tukio mnalodandia haliwatoi mrithi?

Mmekomaa na kushangilia Sabaya kusimamishwa kazi.

Tukwaeleza ukweli hakuna political gain mtakayoipata. Sasa mmepata majibu.

Muwe mnapita mitaani na kujaribu kama mmepata kick za kisiasa baada ya kudandia jambo.

Anywa mlishakubali matokeo na kuwa washabiki wa kupiga kelele.
 
Tunasubiri mchumba wako Bashite sasa
 
Mlishazoea kupost upuuzi mkikosa point.
Msomi wa Sheria anapoandika mada za jikoni akidhani wote humu ni mahousegirl Kama yeye! Unakwama wapi Dada wa kazi?
Lakini sawa kuonyesha unafiki wako humu kwani unaiga tabia za anko wako lijuakali! Haya kapunguze hizo funza zisije kuwa zimehamia kichwani!
 
Hivi hamjui kujifunza na kusoma alama za nyakati? Hamuoni kuwa kila tukio mnalodandia haliwatoi mrithi?

Mmekomaa na kushangilia Sabaya kusimamishwa kazi.

Tukwaeleza ukweli hakuna political gain mtakayoipata. Sasa mmepata majibu.

Muwe mnapita mitaani na kujaribu kama mmepata kick za kisiasa baada ya kudandia jambo.

Anywa mlishakubali matokeo na kuwa washabiki wa kupiga kelele.
Mumeo Sabaya yupo maficho gani mkuu?
 
Wataozuia watu kufanya biashara za magendo?

Wataozuia raia kudhulumiwa mali zao?

Ni bora uwe na kiongozi kama Makonda au Sabaya ambaye anapambana na waharifu wa kila aina kuliko kuwa na kiongozi lelemama ambaye yupo kuuuza sura tu.

Mengine watu wamebakiza uzushi na speculations tu.
James Delicious waache waliotumbuliwa wapumzike

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021

Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo.

Pia soma:

Habari ndo hiyo

Nawatakia Eid Njema.

====

Hayati John Pombe Magufuli tarehe 28 Julai, 2018 alimteua Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai

CHAMA: CCM

TAARIFA ZA ELIMU YAKE

SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA

BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA

UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.

FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL

STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.

OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.

CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.

CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE

SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL

YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010

CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014

Upepo ulibadilikia hapa
 
Back
Top Bottom