Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Hahahaaaa....... Nipo bwashee!
 
Hawa watu si kupanguliwa tu ,inatakiwa wafikishwe UBAONI kwa polato wajibu mashitaki na wakikutwa na hatia ni vifungo!!

Sasa mtu anaingia na mitutu hotelini na kudhuru walinzi na kashafanya uporaji wa fedha kutoka kwa wafanyabiashara etc, kashatumia vitambulisho feki vya TISS,kashakula rushwa sana kwa kutumia makonda styles.
 
Lisemwalo.... Sabaya watu uliwakosea sana tena sana, katili sana wewe.

 
Breaking News,kila mtu awe wa kwanza hata kama hakuna maelezo ya kina, but sawa tutafika tu!.
 
Back
Top Bottom