Hahahaha amesimamishwa? Ili afanyeje? Aimbe mapambio? Usitufanye Wajinga, hakuna DC aliyewahi kusimamishwa kupisha uchunguzi kwa aibu kama huyuBakizeni akiba ya maneno.
AMESIMAMISHWA KAZI
Hiyo ndiyo byebye mkuu, kwa mtu mzima anaelewa kuwa huyo hafai kuwa kiongozi, na hiyo ni meseji kwa wengine wanaofanana nayeMama kamstahi Sana, huyu alipaswa kufukuzwa kazi Mara moja...
Ni Jambo zuri Sana mama anafanya, kiongozi ni kusikiliza...Huyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!
Wakati ana chunga mifugo rungu itumike kuchambiaAende akachunge ng'ombe za familia. Wakati wa kutawaliwa au wa kuwa na viongozi wendawazimu, nadhani ufikie tamati sasa!
Na umegundua kuwa hata mama wa afya kaacha ukomedi?Jamani hivi yule wa Mbeya na yule wa Iringa wapo kweli !!!???
Maana tangu "MWANAKWENDA ZAKE na AENDE" alipoondoka kama siwasikii tena naona wana act low profile sana
... au ilikua nguvu ya Azam Cola gesi imeisha na wao chali pressure zinapanda na kushuka
Ama kweli kila zama na Nabii wake !!!
Yaani huyu mama anajua kumalizia sikukuu yangu vizuri kweli, hela sina Ila napata raha tu.
Walikuja kumsafisha humu tukawaambia katika mambo aliyobugi ni kufanya ile interview ya clouds, pale amemchokonoa pweza aisee. Mama akikaa kimya anatafuta namna ya kumuondoa kimya Ila amemlazimisha mama amuondoe kwa kashfa akazijibu.
Meaning ameshtakiwa kiuongozi aisee hii sio kutenguliwa amefukuzwa kwa kashfa. Ameharibu CV.
Sasa waliokuwa wanamtetea wakamsaidie kujibu tuhuma. Kenge wakubwa
Huyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!
Huyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!
Naomba kauli yako kuhusu hii habari ya sabaya...Hahahaaaa....... Nipo bwashee!
Umetoa kali, timua hivyo hivyo.. hata kama hana wadhifa. Na kweli itapendezaMama ikikupendeza mtimue na Makonda Bashite hata kama hana cheo,timua tu hivyo hivyo
Hahahaha hahahaha, subiri mama awatie kidole cha jichoHuyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!