Rais Kikwete na safari za nje

Rais Kikwete na safari za nje

Ukitaka kujua data zina anguka hapa .Mguse Malecela utamjua ES na Prof akiguswa utamjua Mtanzania .Yangu macho tuendelee
 
Ukitaka kujua data zina anguka hapa .Mguse Malecela utamjua ES na Prof akiguswa utamjua Mtanzania .Yangu macho tuendelee

Kwi kwi kwi!!! sawa mkuu nimekusikia. Kama kuna facts mtu unazijua kuna ubaya gani ukiweka wazi?
 
Kwi kwi kwi.....

Mwenzako Kibaki "amekuwa rais" kwa mara nyingine tena akiwa na miaka 76 sembuse 68 ya Mwandosya? vipi Jongo la zimbabwe mpaka leo anapeta tu na miaka 82!

68 bado kabisa. Hata MacCain ana 71 na anadai bado yumo. Kati ya wanasiasa waliopo TZ huyu yumo katika list yangu ya the best until further notice!
 
Jamani sasa naanza kuamini kuwa mtu akisha ingia ktk System basi naye hubadilika kama vile kabadilisha dini tena huwa muumijni kuliko aliowakuta...Huyu Membe alipokuwa hapa alikuwa mtu wa shoka yaani sikutegemea kabisa kama anaweza kujichanganya ktk kundi hili. Damn!... hivi kweli huko CCM kuna mtu msafi ambaye anaweza kusimama na kutetea nchi yetu?
Hivi kweli safari za JK zinaweza kutetewa kiasi hiki wakati nchi inazidi kuwa masikini. Hivi kweli Membe anakubaliana na matumizi ya fedha zinazotumika ktk misafara hiyo ambayo wengi wetu tunaelewa fika kuwa fedha zinafujwa ovyo ktk matumizi. Kila msafara viongozi hawarudi watupu, kwanza hufikia mahotel ya nguvuwakirudi hawaji watupu wanashinda magari na vitu vya fahari...
Hakuna mtu anayebisha kuwepo umuhimu wa safari hizi lakini ni kiasi gani cha fedha zinatumika na Je, kweli kuna umuhimu wa kuandamana na kundi la watu wasiopungua 50.
 
Kwa kweli zina umuhimu sana maana akija huku uingereza tunapata kula nyama choma naye pale ......, serikali inalipa malipo yote.Mheshimiwa fanya safari nyingi tu za kuja huku, mgeni njoo mwenyeji apone......
 
Duh!!! na wewe umetoa mpya . Kwa hiyo wewe kwako JK na mizunguko yake ni sawa kwako ?
 
Duh!!! na wewe umetoa mpya . Kwa hiyo wewe kwako JK na mizunguko yake ni sawa kwako ?

Lakini wakuu hebu tuweni wakweli na nafsi zetu, wewe ungekuwa katika nafasi ya Bernard Membe ungesema nini kuhusu safari za bosi wako?
 
Lakini wakuu hebu tuweni wakweli na nafsi zetu, wewe ungekuwa katika nafasi ya Bernard Membe ungesema nini kuhusu safari za bosi wako?

Nisingesema rais wetu kuitwa Vasco Da Gama ni sifa kubwa.
 
Mtanzania,

Nisingesema rais wetu kuitwa Vasco Da Gama ni sifa kubwa
Eeeeh bwana wee, wewe kiboko haswaaaa! yaani hakuna jibu kama hilo maanake kutokana na uvumbuzi wote wa Vasco Da Gama na misafara yake, Portugal ndio bado nchi maskini kuliko zote Europe!
Yes, hii siyo sifa hata kidogo na ajabu ka base sifa za kiongozi ktk kupewa jina mtaa na sanamu..damn!...
 
Kwi kwi kwi.....

Mwenzako Kibaki "amekuwa rais" kwa mara nyingine tena akiwa na miaka 76 sembuse 68 ya Mwandosya? vipi Jongo la zimbabwe mpaka leo anapeta tu na miaka 82!

Mwandosya akitaka kuwa rais na akaamua kufight na kufanya ufisadi kidogo apate mapesa kibao anaweza kuwa rais Afrika bila kujali umri wake.

Maombi yetu kuwa Kina Mkumbo watakuwa wamefikisha miaka 40 sijui 35 ya kisheria ya kuwaruhusu wagombee uraisi. Otherwise, nchi inakatisha tamaa hiyo we acha tu.

MWK, Comrade Robert Mugabe, KCB ana miaka 83.
LOL
 
So far this story is unverified, did Membe say so? Who reported that? Source pleeeeeease!

Mkuu Pundit,

Heshima mbele, source ya hii topic ni gazeti la:-

.Mtanzania
.Toleo # 4271, ISSN 0856-5678
.Jumamosi, Januari 19, 2008, (Page # 1&2).

Now my point kuiweka hapa ilikuwa kuwafahamisha wananchi wote hapa JF, kuwa tunaposema viongozi wetu wanaishi nasi hapa huwa tunasema ukweli, maana jina hilo la Vasco da Gama, originally alipewa hapa JF, sasa kufikia waziri wetu wa nje wa Jamhuri, kulisema wazi tena hadaharani ni clear kuwa hata mkulu analijua, na believe me kwamba ni lazima limepunguza safari kama kumi zisizokuwa na sababu ambazo angezifanya bila ya sisi JF kuwepo na kumpa hilo jina,

Kwa hiyo kwa wale wanaofikiria hapa JF ni mahali pa kubuzi buzi na ku-hang out tu labda wanahitaji ku-think twice, maana huu ni ushahidi tosha kuwa tuko nao hapa, sasa tuwekeni vitu vya kweli, kuhusu aliyoyasema, kwa kweli inatia uchungu badala ya kusikitisha, I mean a State foreign minister? Yaani kazi ya huyu mkuuu si sawa na iliyokuwa kazi ya Kissinger? Can you imagine Kissinger kusema huo utumbo? Yaaani ile vurugu yote ya kuwachafua wagombea urais kina Salim, it was all about this kind of thinking? Halafu nasikia na yeye anataka urais pia?

Mungu Ibariki Tanzania!
 
Kuna nini CCM kinachowabadilisha watu? Huyu muungwana wanadai alivyokuwa Canada alikuwa muadilifu alafu unakumbuka ile issue ya Hassy Kitine, few years later anakuja na huu utumbo. Tanzania tuna safari ndefu
 
Kumbe kuchafuana kwenye kampeni za uchaguzi, na kuongoza ni vitu viwili tofauti?
 
Kumbe kuchafuana kwenye kampeni za uchaguzi, na kuongoza ni vitu viwili tofauti?

Mkuu FMES, heshima mbele mkuu, hata mi nilipoona ametaja ilo jina al-maaruf hapa barazani, nikaamini maneno waliyosema kuwa hata Muungwana huwa anapitia hapa mkuu, so baraza hili limekuwa na impact kuliko hata baadi ya magazeti, na hili nishalisema(ga) hapa Mkuu!

Na kuhusu kuchafuana na kuongoza, mkuu unadhani kuna hata mmoja anayetaka kutuongoza mkuu! ni kuwa literally hatuna viongozi! ama wangekuwepo, sasa hivi Tanzania ingekuwa paradiso..tuna maliasili, na kila kitu!

In fact tuna kesi ya kumjibu Muumba, as kwa nini mkuu, hadi leo watu ni masikini kwenye nchi iliyojaa maziwa na asali!

Uongozi mkuu! uongozi!
 
Ndiyo kwanza anaendelea kupasha misuli moto tayari kwa kuingia kwenye kinyang'anyiro cha urais hapo mwezi March. Huyu Mzee nadhani anataka kufia madarakani. Hivi hao wana ZANU PF hawana watu wengine wenye uwezo wa kuongoza nchi zaidi ya Mugabe? Huu ufisadi ni balaa kubwa sana, najua anachoogopa ni kwamba je akiachia ngazi mrithi wake ataendelea kulinda ufisadi wake?

Mzee wa ZANU PF ndo mungu mtu wa Zimbabwe. Unaweza shindana na mungu hata akiwa kishaibu??
 
Naona nilipunguza mwaka mmoja ili kumfanya aonekane kijana.... ila kweli huwezi kuamini the guy anataka tena kugombea kwa miaka mingine mitano!

Kama alivyosema Marehemu Kamau wa Ngengi aliyekuja kujulikana kama Jomo Kenyatta," ati mnasema mimi ni mzee, muulizeni Mama Ngina!" Kwani Grace kalalamika?
 
Tatizo la kuongozwa na Viongozi ambao ni wajanja wajanja na wapenda watoto,siku zote mambo yao huwa yanakuwa ya rahisis rahisi tu coz walijikusanyia katika vijiwe vyao vya saigoni na katika kumbi za mziki hasa Twanga Pepeta.
 
Mkuu FMES, heshima mbele mkuu, hata mi nilipoona ametaja ilo jina al-maaruf hapa barazani, nikaamini maneno waliyosema kuwa hata Muungwana huwa anapitia hapa mkuu, so baraza hili limekuwa na impact kuliko hata baadi ya magazeti, na hili nishalisema(ga) hapa Mkuu!

Na kuhusu kuchafuana na kuongoza, mkuu unadhani kuna hata mmoja anayetaka kutuongoza mkuu! ni kuwa literally hatuna viongozi! ama wangekuwepo, sasa hivi Tanzania ingekuwa paradiso..tuna maliasili, na kila kitu!

In fact tuna kesi ya kumjibu Muumba, as kwa nini mkuu, hadi leo watu ni masikini kwenye nchi iliyojaa maziwa na asali!

Uongozi mkuu! uongozi!

Tumefikia wakati wa kuweka vitu hapa bila kuvi-qualify? Hivi watu wanaamini Membe katamka "Vasco Da Gama" kwa authority gani inayotoa hiyo habari? Source iliyoripoti iko wapi? Habari imeandikwa kama makala ya gazeti lakini nikitafuta kwenye mtandao siziopati, je hili ni gazeti la Tanzania ambalo halipo online? Mlio Tanzania mnaweza kuthibitisha? Au ndiyo mambo ya kuchangamsha baraza na wengine tunadakia bila kuthibitisha?
 
Back
Top Bottom