Mzee ES,
Vipi mkuu mbona unataka kutuua wenzako? Nimecheka hii mpaka mbavu zinauma.
Looh! kweli serikali ya JK ina watu, maana hata mwanangu wa miaka 10 si ajabu angepata sababu kubwa zaidi ya kumtetea boss wake kuliko huyu jamaa.
Hivi mnaomjua Membe, uwezo wake ukoje? Inaelekea ni mbabaishaji mno, maana hii ya leo ni babu kubwa!
Mungu niokoe niache kucheka maana hii ya Membe kali!