William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Hivi watu wanaamini Membe katamka "Vasco Da Gama" kwa authority gani inayotoa hiyo habari?
Mkuu kubali tu uliweka habari bila source na watu makini wakaomba source,
Mkuu naomba kurudia, ule mchezo wa kuwapa urais bure hautatokea tena, kwako labda hayo maneno hapo juu ni maneno ya mtu anyedai source, lakini kwangu ni ya mkereketwa wa Membe, umeomba source umepewa bado umeendelea kudai tu hata ulipokumbushwa na Mtanzania, kuwa tayari umepewa soource sasa unataka nini,
hiyo ndio tabia yako siku zote mkuu toka ulipokuwa TTJ/Kulikoni, na siku zote hukosi neno Mzee Es huwa haambiwi ukweli hapa, toka siku ya kwanza ulipoingia hii JF hili neno chini huwa halikosi mdomoni mwako mkuu,
Mkuu hatujabadilika, bado mambo ni yale yale, waziri wako au mgombea wako ndio huyu ameanza kujionyesha wazi kuwa hana uwezo mkubwa wa kufikiri, sijawahi mkuu kuandika bila sources na wewe binafsi unajua maana toka uanze kudai sources huwa unapewa, mara ya mwisho ulitaka nikupe maana ya ubabe wa Mkapa kwenye vikao vya CC, nikakuwekea, sasa sijui ulifikiri nini this time kwamba utafanikiwa kuharibu huu mjadala on the behalf ya mgombea wako?
Mambo bado ni yale yale tu mkuu hayajabadilika, hukuwa na nia ya kuomba osurce isipokuwa ulitaka kuharibu mjadala, ninakuomba uuache hiyo tabia mkuu.

Au Mkuu FMES yuko beyond kuulizwa source?

Pundit,
FMES amekuambia ametoa gazeti la Mtanzania na katoa na toleo namba, labda utuambie humuamini mzee ES au utuambie kwamba mzee ES anadanganya, vinginevyo sijui unatafuta source gani tena?
Hiyo habari imesemwa na Membe huko Zanzibar ambako yuko kwenye mkutano na maofisa wa wizara yake pamoja na mabalozi