Quotes From Pundit,
1. Tumefikia wakati wa kuweka vitu hapa bila kuvi-qualify? Hivi watu wanaamini Membe katamka "Vasco Da Gama" kwa authority gani inayotoa hiyo habari?
2. Source iliyoripoti iko wapi? Habari imeandikwa kama makala ya gazeti lakini nikitafuta kwenye mtandao siziopati, je hili ni gazeti la Tanzania ambalo halipo online? Mlio Tanzania mnaweza kuthibitisha?
3. Au ndiyo mambo ya kuchangamsha baraza na wengine tunadakia bila kuthibitisha?
4. nilikuwa na usongo wa kutayarisha dongo la nguvu kwa Membe nikawa nasubiri kuhakiki source.Post ya juu inayouliza kama hizi habari zimetoka katika gazeti lisilo online itathibitisha hilo.
5. Habari ya kuona rais kuitwa Vasco Da Gama kuwa "ujiko" imenichoma moyo sana.
6. Ahsante Mzee ES, ni hilo tu nilikuwa nalisubiri sasa naenda ku-unleash mbwa juu ya ubaradhuli huu usio kikomo.
7. Where is the freakin outrage?
8. FMES Serious people demand serious evidence.My repeated pleading for a solid way of naming the source only validate my degree of seriousness.
Mkuu Pundit,
Kwanza sikujua kuwa ndilo jina lako jipya hapa JF sasa, halafu sihitaji kupoteza muda wangu, isipokuwa ninayaweka wazi maneno yako mwenyewe ili wananchi waamue how serious you are?
Ni kweli mkuu you are very serious indeed, ila mimi sio mmoja wa hao watakao kuamini kwa sababu I was not born jana mkuu, wewe ni Membe apologists, makosa tuliyoyafanya na Mtandao hatutayarudia tena ya kuwapa tu power bila scrutiny, I know for a fact kuwa mkuu wako tayari anayo kambi ya uchaguzi inayowajumuisha kina Radhia, na wewe ukiwemo ndani kutoka huko uliko, mkuu Lunyungu anajua uko wapi, sasa please mkuu tuko hapa for a serious business sio kuchezeana akili, wachezee wajinga huko uliko sio kucheza na watu hapa JF, mwambie huyo mkuu wako kuwa next time arround urais hautakuwa wa bure tena, ishu zote humu JF mbona hujawahi kuuulizia source mkuu?
Mwambie mkuu hatutampa nafasi ya bure, na hasa yule mjomba wako mwambie hatuogopi mtu hapa hata muwe nani, mkisema pumba mtaambiwa hapa, kama kununua nunueni magazeti uchwara hayo, lakini sisi wananchi wote hamuwezi, wasalimie huko kambini waambie hapa nipona sijabadilika, bado ni mr. bad news kama siku zileeeee!
Thank You Sir!