South Africa hapa Afrika mpinzani wake anaweza akawa Misri, Algeria na wengine wachache wasiozidi wawili. Wako well equiped brother, Rwanda hawezi fikiria kabisa kukabiliana na SA.Hapa mlengwa ni SA.
Pili, SA ile ni Ulaya ndani ya Africa. Sasa kupambana na mzungu mwenye pesa zake kwa nchi kama Rwanda sio kweli.
Mlengwa hapa ni Tz. Marehemu Mtikila aliwahi kulisema hili kwamba Kagame na Watusi wenzake wamepandikiza watu wengi ktk vyombo vyetu vya usalama, kuna kipindi ikasadikika hata ikulu wapo baadhi ya walinzi ni kutoka Rwanda, hii ilikuwa kipindi cha Hayati Magufuli.