Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

Huyo ashazoeleka kuropoka tangu enzi za JAKAYA.
Ila nadhani anajua mziki wa Tanzania ukoje.
Eti " ...nadhani anajua mziki wa Tanzania ukoje?" yawezekana unamtunishia Bongo fleva🚮
 
Kwa bahati mbaya hataweza, kwa sababu yuko saiti; kule vijana wanako tengeneza kokoto ,

Tunao mbeza Kagame , kama ilivyo kawaida yetu.ni kama sisi wenyewe hatuna akili timamu; yeye anatumia vigezo vilivyo wazi; kwa juzi juzi kututia aibu hujo DRC; sisi tunauza soga tu, na miasho!
Wanaombeza au kukaa kimya basi hawajui uwezo wake huko frontier.

Hana huruma huko anavuna kokoto na anaesimama mbele yake anawamaliza.

US huwa anakuvunja nguvu kwa juu kwanza halafu anatengeneza wa kuja chini

Waafrika wengi kununua midege ya kivita ni ndoto

Zamani uchumi ulikuwa juu kwa sababu ya Muzungu, tukaweza kumudu kidogo.

Kwa mfano F-22 jet ni $350m na F-35 ni $115m

Tukipambana tunaweza
 
Hivi huo usiri husaidia nini? ikiwa mataifa yenye nguvu za kijeshi kama China, Russia, Iran, Israel, Turkey n.k huonyesha uwezo wao kijeshi, hii Tanzania kuna siri gani?

Hio siri inasaidia nini?
Teh..teh... teh... laba huko Lugalo na kwingineko kuna secret technology ambayo haipatikani popote pale duniani zaidi ya bongo hapa, na wanataka waje watusurprise kwa kutengeneza B-2 spirit ya kikwetu kwetu, ambayo itakuwa ni bora zaidi ya ile iliyotungua nuclear sites za Iran
 
Kama kweli kayasema haya basi jamaa mipasho sana kama mwanamke.. mwanaume tena mjeshi na kuongozi wa nchi hawez kuwa mpumbavu kiwango hichi
Kwamba kuwa. Fisadi na nchi Yako kuwa masikini ndio uzalendo
 
Kwa hali tuliyonayo hivi sasa, vita vikitokea wananchi wengi watamuunga mkono mvamizi

Maccm yanalipuuza hili, ila siku likitokea ndio wataamini kumbe lisemwalo lipo.

Yaani itakuwa ni serikali ya CCM vs WAVAMIZI & RAIA
Ni kweli wakuu,
Kama ilivyokuwa enzi za vita ya Kagera na Uganda. Jwtz walikuwa wanapokelewa na raia wa Uganda kwa bashasha na kupewa ushirikiano, ikiwa ni pamoja na kuelekezwa maficho ya askari wa Idd Amin Dada.

Serikali inayoonea na kufarakana na raia wake haiwezi kuwa na uwezo wa kushinda vita yoyote
 
TPDF inafanya kazi zake kwa usiri na umakini mkubwa Sanaa,Tofauti na watu wanavyoifikiria.
Huwezi kuwa na siri yeyote kama hutengenezi silaha zako mwenyewe. Kila ukiagiza vifaru makombora, ndege za kivita, drones, nk, vinaingia kwenye database huko. Ndiyo maana uki Google tu unajua ubora wa jeshi la nchi yoyote na vifaa inavyomiliki ikiwemo Tz.

Pili, mara nyingi tu huwa kuna askari wazungu (ndani ya mavazi ya mabaka) pale Lugalo, (kwa vikosi vingine sijui). So, hakuna siri
 
Akinaribu tu atajibiwa vikali, hatuwezi kushindwa na tutsi wanywa maziwa sisi.
Tunaanza kwanza na safishasafisha ya kuwaondoa watutsi wote walioko ngara , biharamulo, nyakanazi, na maeneo yote ya kagera
Tuki.aliza hapo tunaongoza tarrifs kwa asilimia 50% ya bidhaa zinazopitia bandarini kwetu.
Afu tunamfuata sasa kageme a.k.a skeleton anakula kichapo
 
Hii kauli inaonyesha jinsi gani wamejipanga. Vyombo vya Ulinzi na Usalama viwe macho muda wote
Bila Tanzania Kagame asingefika popote!. Anachofanya Kagame kwa sasa dhidi ya Tanzania ni kile wanachosema kwa lugha ya kinyarwanda ( pia Kirundi,kiha,kihangaza na kishubi ) ya kwamba : " UMUYOVU UMUVURA AMASO,BUKEYE AKAYAKUKANURIRA!".
au kwa kiswahili " shukrani za punda ni mateke".
 
Macron anataka iundwe kamati ikachunguze makombora ya iran 😃
Na waunde kamati wakayachunguze kweli maana kwa yale makombora hata mie sishauri wamruhusu aunde nuclear weapons itakua ni disaster.
Kombora linapiga hapa mita 50 mbele maafa yanatokea!??
 
wengi humu wanajazana ujinga tu.Serikal ya tanzania niya busara sana na siku zote mwenye uwezo huwa ajigambi wala kuongea sana ila wadhaifu ndio wanakuaga na mikwara mbuzi.Hiyo rwanda ukiwafungia kupitisha vitu vyao bandarini ni miezi michache tu wanaomba poo hapo bado dagaa,mboga mboga na vyakula vingine wanavyokuja kuangaika kununua uku.Tena ashukuru kupakana na tanzania isiyopenda vurugu zakijinga.
Rwanda unaimaliza tu kwa "war of attrition".
Kama msimu wa corona waliweka lockdown wiki tatu tu njaa ikatamalaki Rwanda nzima,je ukiwawekea vizuizi itakuaje!?
 

Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

screenshot_20250503_205457_opera-mini-jpg.3323848
 

View: https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0

General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao.

Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono serikali ya Congo, Rwanda iliwasamehe na kuwaacha wapite nchini Rwanda na kurudi makwao. Katika watu ambao waliruhusiwa kupita Rwanda ni pamoja na askari wa JWTZ ambao kuna video inaonesha wanasachiwa ili kurudi nyumbani.

Paul Kagame amesema, kama wale wanajeshi wangethubutu kutunisha misuli bila kusalimu amri basi wangeangamizwa wote. Tena kama kuna wengine wataendelea kufikiria kwamba wataitishia Rwanda basi watafuatwa hukohuko makwao.

Maneno ya Dikteta Paul Kagame yameanzia dakika ya 14 ya hii video niliyoambatanisha hapa. Ni ujumbe wa vitisho kwa mataifa ya SADC, ikiwemo Tanzania, Malawi na Afrika Kusini.

Kuna msemo husema hivi, "Usipokuwa makini, hata mbwa atakucheka"

Povu Ruksa, Karibu Sana......

Duh! Hatari, anatutishia mbaya sana! Lakini enzi ya JK hawa jamaa wa M23 walichakazwa mbaya sana!
 
Sikiliza we mkundu wewe,sio Kila anayeleta hoja kutetea serikali yeye ni CCM.
Mie ni mwanasiasa na nina uanachama wa ACT wazalendo tawi la Chang'ombe,ila linapokuja suala la nation interests HUWEZI ukaleta uchama matako wewe.
Wewe una uhakika kama Tanzania haijafanya maboresho yeyote kijeshi?
Wewe una uhakika Tanzania haijajipanga kwa lolote!??
Anaepigana ni rais au wanajeshi??
Matako mkubwa wewe.
ACT ni tawi la CCM, hujui au unatuzuga tu?

Jenga hoja. Matusi ni ya watu wasio na hoja. Mtu uko tawi la CCM bila kujua, halafu unajidai mjuaji. Hopeless kabisa.
 
Jamaa sikiliza kwanza hiyo speech ya Kagame.

Kazungumzia sana hivyo votisho vya silaha.

Anasema unaweza kurusha hata rocket ukiwa kwako, lakini wao Rwanda wana iwezo wa kukufuata pale pale ulipoweka hayo makombora yako wakakumaliza.

Kulingana ma hali tuliyonayo, kiuhalisia Kagame yuko sahihi.

Mfano, kwa TZ mifumo yetu yote ILISHAKUFA.
Jidanganye mkuu,usidharau taifa hata kidogo.
Hata wenyewe wazungu kitu ambacho wanakisisitiza ni kutomdharau adui yako tena hilo wamejifunza juzi tu kwa Iran.
 
Jidanganye mkuu,usidharau taifa hata kidogo.
Hata wenyewe wazungu kitu ambacho wanakisisitiza ni kutomdharau adui yako tena hilo wamejifunza juzi tu kwa Iran.
Hakuna mtu anadharau mtu mwingine.

Hapa tunazungumza hali halisi, kama kuna marekebisho wafanye.

Huwezi kujidanganya tuko sawa wakati dalili zote zinaonekana tuko uchi kabisa.
 
Back
Top Bottom