100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 8,791
- 30,985
Ili kujiita una nguvu kwa dunia ya sasa lazima..
1-uwe na idara bora kabisa ya usalama na vyombo vya usalama ambavyo havijihusishi na siasa wala kutumika kisiasa..
2-silaha za kisasa, teknolojia za kisasa na wataalamu wa cyber security, electronics warfare, ITs n.k .....
3-Wananchi wazalendo ambao wata support nchi yao kwa nguvu moja kipindi cha vita
sasa tujiulize katika hayo tupo hapo kweli?

Mkuu, yanayoendelea Palestine, Iran, Israel, Ukraine na Russia yanatufumbua macho kutuonesha sisi bado tupo nyuma saana ktk medani za kivita za sasa.
Mimi nasema kila siku humu, tukipata mpinzani kama Rwanda, Uganda, Kenya huko Ethiopia, Angola, Misra n.k tusithubutu hata kidogo, hawahawa jirani zetu, endapo tukawapiga basi watatuachia kovu zito saaaana.